NHIF YATAMBUA UMUHIMU WA WATOA HUDUMA ZA AFYA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-48W6HRM0Hn0/VoqHj_kTkNI/AAAAAAAIQQ0/nR6KHXy6Yys/s72-c/rehani-athumani.jpg)
Na Jacquiline Mrisho- MAELEZOMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeipongeza Manispaa ya Ilala kwa kutoa huduma bora za afya kwa wanachama wa mfuko huo.
Akizungumza na waandishi wa habari, katika ufunguzi wa mkutano wa watoa huduma wa afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Masoko,Elimu kwa Umma na Utafiti Othuman Rehani (Pichani)amesema kwamba Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatambua mchango mkubwa unaotolewa na watoa huduma za afya kwa wanachama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Watoa huduma za afya watakiwa kuacha kuisingizia NHIF
10 years ago
MichuziWATOA HUDUMA MKOANI LINDI WAASWA KUCHANGAMKIA MIKOPO INAYOTOLEWA NA NHIF ILI KUBORESHA HUDUMA ZA MATIBABU
11 years ago
Habarileo21 Jun
Watoa huduma NHIF kukopeshwa bililioni 10/-
BODI ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeidhinisha Sh bilioni 10 kwa ajili ya kuwakopesha watoa huduma ili waweze kupata vifaa tiba na kukarabati maeneo yao ya kutolea huduma.
11 years ago
Habarileo02 May
NHIF yaonywa mikopo ya dawa kwa watoa huduma
SERIKALI imeuonya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kuwa makini na mpango inaotaka kuuanza katika mwaka ujao wa fedha wa kutoa mikopo ya dawa kwa watoa huduma wote waliosajiliwa.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Ve0wVtFgBTE/VkQ7ZXe2QxI/AAAAAAAIFYQ/tCIHNCIUU08/s72-c/unnamed%2B%252838%2529.jpg)
RC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)
MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.
Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na...
10 years ago
Michuzi03 Sep
NHIF kuendelea kuboresha huduma za afya nchini.
![](https://1.bp.blogspot.com/-T6nqPhNgnEU/VAb_toZEIDI/AAAAAAAAXr4/8lCHWbx5ja8/s1600/Mwamoto.jpg)
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko huo Bw. Deusdedit Rutazaa.
![](https://3.bp.blogspot.com/-aJiNXi1xSAU/VAb_ttg8iWI/AAAAAAAAXrg/fPs_Bv3MWOg/s1600/Deusidedit%2BRutazaa.jpg)
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Deusdedit Rutazaa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PEYHtTzMREo/VQFNTghULiI/AAAAAAAAqwE/CwhbD_Z0JgI/s72-c/unnamedA.jpg)
NHIF yaombwa kuendelea na huduma ya upimaji wa afya bure
![](http://3.bp.blogspot.com/-PEYHtTzMREo/VQFNTghULiI/AAAAAAAAqwE/CwhbD_Z0JgI/s1600/unnamedA.jpg)
Na Catherine Kameka
WADAU wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wameuomba Mfuko huo kuendeleza programu za upimaji wa afya bure ili kuwasaidia wanachama wake na wananchi kwa ujumla kujua hali za afya zao lakini...
11 years ago
MichuziNHIF yapongezwa kwa huduma za upimaji Afya bure
![](http://2.bp.blogspot.com/-buaMBo1cfRI/UuvlzPh5hQI/AAAAAAAFJ_k/FrptGBLZySI/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-VaCvRIp1-EE/UuvlzAHwH6I/AAAAAAAFJ_o/yJpGC1Jvlgo/s1600/3.jpg)
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Watoa huduma za afya wadhibitiwe-Balozi Mchumo
NA KHADIJA MUSSA
SERIKALI imeombwa kuharakisha utaratibu wa kudhibiti gharama za huduma za afya hususan upande wa dawa ili kuwapunguzia mzigo wananchi.
Hatua hiyo inatokana na baadhi ya watoa huduma za afya kupandisha gharama kila kukicha, jambo ambalo limekuwa likilalamikiwa.
Pia, watoa huduma hao wametakiwa kuacha tabia ya kubagua wagonjwa wa kadi na kuthamini wale wanaotoa pesa taslimu.
Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Balozi Ali Mchumo, alitoa ombi hilo jana alipokuwa...