Watoa huduma za afya wadhibitiwe-Balozi Mchumo
NA KHADIJA MUSSA
SERIKALI imeombwa kuharakisha utaratibu wa kudhibiti gharama za huduma za afya hususan upande wa dawa ili kuwapunguzia mzigo wananchi.
Hatua hiyo inatokana na baadhi ya watoa huduma za afya kupandisha gharama kila kukicha, jambo ambalo limekuwa likilalamikiwa.
Pia, watoa huduma hao wametakiwa kuacha tabia ya kubagua wagonjwa wa kadi na kuthamini wale wanaotoa pesa taslimu.
Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Balozi Ali Mchumo, alitoa ombi hilo jana alipokuwa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-48W6HRM0Hn0/VoqHj_kTkNI/AAAAAAAIQQ0/nR6KHXy6Yys/s72-c/rehani-athumani.jpg)
NHIF YATAMBUA UMUHIMU WA WATOA HUDUMA ZA AFYA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-48W6HRM0Hn0/VoqHj_kTkNI/AAAAAAAIQQ0/nR6KHXy6Yys/s640/rehani-athumani.jpg)
Akizungumza na waandishi wa habari, katika ufunguzi wa mkutano wa watoa huduma wa afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Masoko,Elimu kwa Umma na Utafiti Othuman Rehani (Pichani)amesema kwamba Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatambua mchango mkubwa unaotolewa na watoa huduma za afya kwa wanachama...
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Watoa huduma za afya watakiwa kuacha kuisingizia NHIF
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Jumuiya ya Bango Sangho watoa huduma za afya bure Kibugumu
![Dk Hamza Mzige kutoka Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe akimpima moja ya mtoto aliyeletwa kupata huduma katika zoezi hilo lililoendeshwa eneo la Kibugumu Kigamboni jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0088.jpg)
Dk Hamza Mzige kutoka Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe akimpima moja ya mtoto aliyeletwa kupata huduma katika zoezi hilo lililoendeshwa eneo la Kibugumu Kigamboni jijini Dar es Salaam.
![Mratibu wa huduma hizo, Dk. Ali Mzige (wa kwanza kulia) akitoa huduma kwa wagonjwa katika zoezi hilo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0084.jpg)
Mratibu wa huduma hizo, Dk. Ali Mzige (wa kwanza kulia) akitoa huduma kwa wagonjwa katika zoezi hilo.
![Mmoja wa wahudumu wa afya akitoa huduma kwa baadhi ya watoto waliofikishwa katika zoezi hilo lililoendeshwa eneo la Kibugumu Kigamboni jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0024.jpg)
Mmoja wa wahudumu wa afya akitoa huduma kwa baadhi ya watoto waliofikishwa katika zoezi hilo lililoendeshwa eneo la Kibugumu Kigamboni jijini Dar es Salaam.
![Dk Hamza Mzige kutoka Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe akitoa huduma kwa mmoja wa wateja wake katika zoezi hilo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0076.jpg)
Dk Hamza Mzige kutoka Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wSIN4obw9o4/XqGql016cvI/AAAAAAALoB4/lurbBxaQQf4kbPNhbDWd7RrFCb7RbPBiQCLcBGAsYHQ/s72-c/7b32687d-4455-4fda-9748-b38fe8a08f55.jpg)
WATOA HUDUMA ZA AFYA MSIWAKIMBIE WAGONJWA-WAZIRI.UMMY MWALIMU
Na WAMJW – Dar es Salaam
Serikali imewataka wahudumu wa afya nchini kufuata kanuni na miongozo iliyopo katika kutoa huduma kwa wagonjwa kwa kufanya hivyo wataweza kuepuka kupata maambukizi kutoka kwa wagonjwa wanaowahudumia.
Rai hiyo imetolewa leo jijini jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akipokea msaada wa vifaa vya kunawia mikono 100 vyenye ujazo wa lita 500 kutoka kwa Shirika lisiyo la kiserikali la Water Mission...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-WL1nQSyLwFo/XnvEHRULnDI/AAAAAAAAnL4/1I9TzMiziz47UIbVXmGViQnC-zVrz23LgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) CHATOA WITO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-WL1nQSyLwFo/XnvEHRULnDI/AAAAAAAAnL4/1I9TzMiziz47UIbVXmGViQnC-zVrz23LgCLcBGAsYHQ/s1600/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZQ24GFSBxD8/XnvEHfmycpI/AAAAAAAAnL0/3qphNIUpIpcjQgpa2SfgL6ijz6XZZIu4ACLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
5 years ago
MichuziWATOA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA WAPEWA MAFUNZO NAMNA YA KUHUDUMIA WASHUKIWA NA WAGONJWA WA CORONA
Jumla ya watoa huduma za afya 56 kutoka kwenye vituo vya afya vya umma na watu binafsi wilaya ya Shinyanga na Kishapu wamepatiwa mafunzo ya namna ya kutoa matibabu kwa washukiwa na wagonjwa watakaobainika kuwa na Maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID 19).
Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwa ufadhili wa Shirika la Lifewater International yamefanyika leo Jumatatu Mei 4,2020 katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga.
Afisa Afya Mkoa wa Shinyanga Neema...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ckpoDkum7IU/U98PsdoX2AI/AAAAAAACmz8/BXyTU6nbpaE/s72-c/1+(2).jpg)
CBE YAENDESHA MAFUNZO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA 72 KUTOKA MIKOA MBALIMBALI JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-ckpoDkum7IU/U98PsdoX2AI/AAAAAAACmz8/BXyTU6nbpaE/s1600/1+(2).jpg)
5 years ago
MichuziDOCTORS WITH AFRICA YATOA ELIMU YA CORONA KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII SHINYANGA
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Yudas Ndungile akisisitiza jambo kwa washiriki wa mafunzo ya namna ya utoaji wa elimu na kukabiliana na ugonjwa wa Corona.
Na Damian Masyenene - Shinyanga Press Club Blog
JUMLA ya watoa huduma za Afya ngazi ya jamii 109 kutoka Wilaya ya Shinyanga Mkoani Shinyangawamepewa mafunzo na mbinu mbalimbali za namna ya kukabiliana na homa kali ya mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19).
Mafunzo hayo yametolewa kwa watoa huduma hao 53 kutoka...
5 years ago
MichuziMBUNGE WA CCM AZZA HILAL ATOA MSAADA WA NGAO ZA USO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA KUJIKINGA NA CORONA
Mhe. Azza amekabidhi Ngao hizo za uso leo Ijumaa Mei 8,2020 wakati akikabidhi gari la kubebea Wagonjwa ‘ Ambulance’ lililotolewa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto...