NHIF WATOA MSAADA WA MASHUKA 120 HOSPITALI YA MANISPAA YA TEMEKE
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa mkoa wa Temeke (NHIF),Constantine Makala akieleza jambo wakati wa kukabidhi mashuka 120 katika hospitali ya Temeke leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk.Edwin Muhondezi. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa mkoa waTemeke (NHIF), Constantine Makala akimuwakilisha kaimu Mkurungenzi Mkuu wa (NHIF) wa mkoa wa Temeke kumkabidhi msaada wa mashuka 120 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke Edwin Muhondezi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNHIF Mkoa wa Manyara watoa msaada wa mashuka 100 kwenye hospitali ya mji wa Babati (Mrara).
10 years ago
MichuziNHIF yatoa msaada wa mashuka Hospitali ya Vijibweni
9 years ago
MichuziNHIF YATOA MSAADA WA MASHUKA 100 HOSPITALI YA MJI WA BABATI
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
NHIF yakabidhi msaada wa mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini Singida
Meneja wa NHIF mkoa wa Singida, Agnes Chaki (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Singida, Alli Amanzi msaada wa mashuka 200 kwa ajili ya hospital ya mkoa mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).
Mkuu wa wilaya ya Singida,Alli Amanzi (kulia) akibadilishana mawazo na Meneja Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) mkoa wa Singida, Agnes Chaki (katikati) muda mfupi kabla Meneja NHIF hajakabidhi mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini hapa.Kushoto ni Afisa uthibiti ubora wa huduma NHIF mkoani...
10 years ago
GPLNHIF YAKABIDHI MSAADA WA MASHUKA 200 KWA HOSPITALI YA MKOA MJINI SINGIDA
10 years ago
VijimamboAKINA MAMA WA KIKUNDI CHA ZITEZEN FOUNDATIO WATOA MSAADA WA MAGODORO KATIKA HOSPITALI YA TEMEKE
Akina mama wa Citizen Foundation wakiwa nje ya Hospitali ya Wilaya ya Temeke na walikokwenda kukabidhi magodoro.
Mwenyekiti wa Citezen Foundation, Lilian Wasira akimkabidhi moja ya magodoro, Amosi Kabelege ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Hospitali ya Temeke. Mwenyekiti wa Citizen Foundation, Lilian Wasira...
10 years ago
MichuziWAKINA MAMA WA KIKUNDI CHA ZITEZEN FOUNDATIO WATOA MSAADA WA MAGODORO KATIKA HOSPITALI YA TEMEKE
Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo, Mwenyekiti wa kikundi hicho, Lilian Wasira alisema wameguswa sana na tatizo la akina mama kujifungulia sakafuni ndiyo maana wakaona watoe msaada huo.
Lilian alisema, wameamua kufanya hivyo badala ya kusherehea siku hiyo kwenye kumbi za burudani huku wenzao...
10 years ago
Michuzi13 Nov
NHIF yakabidhi mashuka hospitali ya wilaya
Akikabidhi mashuka hayo kwa uongozi wa hospitali ya wilaya ya Kibondo, meneja wa NHIF mkoa kigoma,Elius Odhiambo alisema kuwa kutolewa kwa mashuka hayo ni sehemu ya mpango wa mfuko huo katika kuboresha utoaji huduma katika sekta ya afya.
Odhiambo alisema kuwa mashuka hayo yaliyotolewa...
10 years ago
Habarileo12 Jul
NHIF yapunguza uhaba wa mashuka hospitali ya Singida
HOSPITALI ya Mkoa wa Singida inakabiliwa na uhaba mkubwa wa mashuka hali inayosababisha baadhi ya wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi wakati wote wanapokuwa wamelazwa hospitalini hapo.