NHIF YAKABIDHI MSAADA WA MASHUKA 200 KWA HOSPITALI YA MKOA MJINI SINGIDA
Meneja wa NHIF mkoa wa Singida, Agnes Chaki (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Singida, Alli Amanzi msaada wa mashuka 200 kwa ajili ya hospital ya mkoa mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu). Mkuu wa wilaya ya Singida, Alli Amanzi (kulia) akibadilishana mawazo na Meneja Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) mkoa wa Singida, Agnes Chaki (katikati) muda mfupi kabla Meneja NHIF hajakabidhi mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
NHIF yakabidhi msaada wa mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini Singida
Meneja wa NHIF mkoa wa Singida, Agnes Chaki (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Singida, Alli Amanzi msaada wa mashuka 200 kwa ajili ya hospital ya mkoa mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).
Mkuu wa wilaya ya Singida,Alli Amanzi (kulia) akibadilishana mawazo na Meneja Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) mkoa wa Singida, Agnes Chaki (katikati) muda mfupi kabla Meneja NHIF hajakabidhi mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini hapa.Kushoto ni Afisa uthibiti ubora wa huduma NHIF mkoani...
9 years ago
MichuziNHIF Mkoa wa Manyara watoa msaada wa mashuka 100 kwenye hospitali ya mji wa Babati (Mrara).
10 years ago
Michuzi13 Nov
NHIF yakabidhi mashuka hospitali ya wilaya
Akikabidhi mashuka hayo kwa uongozi wa hospitali ya wilaya ya Kibondo, meneja wa NHIF mkoa kigoma,Elius Odhiambo alisema kuwa kutolewa kwa mashuka hayo ni sehemu ya mpango wa mfuko huo katika kuboresha utoaji huduma katika sekta ya afya.
Odhiambo alisema kuwa mashuka hayo yaliyotolewa...
10 years ago
Habarileo12 Jul
NHIF yapunguza uhaba wa mashuka hospitali ya Singida
HOSPITALI ya Mkoa wa Singida inakabiliwa na uhaba mkubwa wa mashuka hali inayosababisha baadhi ya wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi wakati wote wanapokuwa wamelazwa hospitalini hapo.
10 years ago
MichuziNHIF yatoa msaada wa mashuka Hospitali ya Vijibweni
9 years ago
MichuziNHIF YATOA MSAADA WA MASHUKA 100 HOSPITALI YA MJI WA BABATI
10 years ago
MichuziNHIF WATOA MSAADA WA MASHUKA 120 HOSPITALI YA MANISPAA YA TEMEKE
9 years ago
StarTV05 Sep
Wagonjwa hospitali ya mkoa Singida watumia mashuka yao
Wagonjwa wanaolazwa katika hospitali ya mkoa wa Singida wapo hatarini kupata maambukizi ya magonjwa mengine kutokana na kutumia mashuka wanayotoa nyumbani na kujifunika bila kuyafanyia usafi suala ambali ni kinyume na taratibu na kanuni za afya.
Hii ni kutokana na Hospitali hiyo kuwa na mashuka 235 pekee kati ya 2,500 yanayohitajika, kiwango ambacho ni chini ya asilimia 10 ya mahitaji hivyo kuulazimu uongozi kutoa ruksa kwa kila mgonjwa anayelazwa kwenda na shuka lake.
Wagonjwa mbalimbali...
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Hospitali ya Mkoa Singida yapigwa tafu ya mashuka na benki ya Posta nchini
Meneja wa benki ya Posta tawi la Singida, Redenoter Rweyemamu, akizungumza kwenye hafla ya benki hiyo kutoa msaada wa shuka 104 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili, kwa hospitali ya mkoa mjini hapa, inayokabiliwa na uhaba wa shuka na kusababisha wagonjwa kutumia mashuka yao binafsi kitendo ambacho ni kinyume na taratibu.
Mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa mjini hapa, Dk. Daniel Tarimo, akitoa shukrani zake kwa benki ya posta tawi la Singida mjini kwa msaada wake wa mashuka...