NHIF yatoa msaada wa mashuka Hospitali ya Vijibweni
![](http://3.bp.blogspot.com/-L3yruAQOY-8/VD6Ide55NVI/AAAAAAAGqqE/C-morK-QBqc/s72-c/1.jpg)
Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu Dk. Frank Lekey akikabidhi mashuka kwa Muuguzi wa Hospitali ya Vijibweni Maimuna Mwaya. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekabidhi jumla ya mashuka 150 katika Hospitali hiyo ambayo iilikuwa na uhaba mkubwa wa mashuka.
Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akitandika kitanda kwa shula la NHIF ambalo ni moja ya mashuka yaliyokabidhiwa hospitalini hapo.
Mganga Mfawidhi Emanuel Bwana akielezea huduma zinazotolewa hospitalini hapo na kuushukuru Mfuko kwa msaada wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNHIF YATOA MSAADA WA MASHUKA 100 HOSPITALI YA MJI WA BABATI
10 years ago
MichuziNHIF WATOA MSAADA WA MASHUKA 120 HOSPITALI YA MANISPAA YA TEMEKE
10 years ago
Dewji Blog10 Jul
NHIF yakabidhi msaada wa mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini Singida
Meneja wa NHIF mkoa wa Singida, Agnes Chaki (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Singida, Alli Amanzi msaada wa mashuka 200 kwa ajili ya hospital ya mkoa mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).
Mkuu wa wilaya ya Singida,Alli Amanzi (kulia) akibadilishana mawazo na Meneja Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) mkoa wa Singida, Agnes Chaki (katikati) muda mfupi kabla Meneja NHIF hajakabidhi mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini hapa.Kushoto ni Afisa uthibiti ubora wa huduma NHIF mkoani...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/DSC00136.jpg?width=650)
NHIF YAKABIDHI MSAADA WA MASHUKA 200 KWA HOSPITALI YA MKOA MJINI SINGIDA
11 years ago
MichuziNMB YATOA MSAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA
9 years ago
MichuziNHIF Mkoa wa Manyara watoa msaada wa mashuka 100 kwenye hospitali ya mji wa Babati (Mrara).
10 years ago
MichuziCBE YATOA MSAADA WA MASHUKA KWA AJILI YA WODI YA AKINAMAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR
10 years ago
MichuziNHIF YATOA MSAADA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA BABATI