Sumaye ataka Watanzania kuacha ubinafsi
 Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuacha ubinafsi na kujitolea kwa jamii katika kukabiliana na majanga ya njaa, mazingira, maji na elimu ambayo yamekuwa ni chanzo cha pengo kati ya tabaka la matajiri na masikini nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV04 Jan
Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi
Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.
Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.
Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...
10 years ago
Vijimambo27 Dec
SUMAYE ATAKA WATANZANIA KUWA NA HOFU YA MUNGU
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/123.jpg)
10 years ago
Mtanzania16 May
Sumaye akemea rushwa, ubinafsi
NA MWANDISHI WETU, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema lawama zinazotolewa na wananchi nchini zinatokana na kukithiri kwa rushwa, ufisadi, ubinafsi na uwepo wa biashara za dawa za kulevya hapa nchini.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, wakati wa maadhimisho ya siku ya kazi ya Chuo cha Ustawi wa Jamii (IST).
“Binadamu wenye uzalendo na maadili mema wanawajali wenzao na hawawezi kuangamiza maisha ya wengine, wakiwamo vijana kwa kufanya biashara ya dawa za kulevya...
11 years ago
Mwananchi29 Jan
Bima nchini watakiwa kuacha ubinafsi
11 years ago
Habarileo24 Mar
Wajumbe bunge maalumu watakiwa kuacha ubinafsi, uchoyo
KUTOKANA na kuongezeka mivutano na mpasuko miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, imeshauriwa njia pekee ya kunusuru mchakato wa kuandikwa kwa Katiba mpya ni wajumbe kuacha ubinafsi, uchoyo na misimamo ya kisiasa badala yake wajenge maridhiano.
11 years ago
Habarileo04 Mar
'Watanzania acheni tamaa, ubinafsi'
WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuachana nxa ubinafsi kwa kuridhika na walichonacho. Pia, ametaka Watanzania kujiepusha na tamaa ya kile kidogo walichonacho watu wasio na uwezo.
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Simbakalia ataka Tanesco kuacha urasimu
MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali mstaafu Joseph Simbakalia, amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhakikisha wananchi wanaokwenda kuomba huduma ya kuunganishiwa umeme wanapatiwa huduma hiyo kwa wakati. Simbakalia alitoa...
10 years ago
Habarileo05 Sep
Sumaye ataka gesi ifute umasikini
ALIYEKUWA Waziri Mkuu, Frederick Sumaye, amesema Watanzania na wananchi wa mataifa ambako kumegundulika gesi na mafuta, wanapaswa kufahamu hatma ya kuondoa umasikini wa nchi yao, iko mikononi mwao.
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Sumaye ataka mipango kuimarisha uchumi