Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye ataka gesi ifute umasikini

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick SumayeALIYEKUWA Waziri Mkuu, Frederick Sumaye, amesema Watanzania na wananchi wa mataifa ambako kumegundulika gesi na mafuta, wanapaswa kufahamu hatma ya kuondoa umasikini wa nchi yao, iko mikononi mwao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Gesi si mwarobaini wa umasikini, kazi shambani

Gesi si mwarobaini wa umasikini, kazi shambani Zitto Kabwe Toleo la 367  20 Aug 2014 Rais Kikwete na Waziri Muhongo TANZANIA kama ilivyo kwa Bara la Afrika ni miongoni mwa nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi. Inakadiriwa kwamba kati ya mwaka 2012 mpaka 2017 katika nchi kumi zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi, sita zitakuwa zinatoka Bara la Afrika. Tanzania ni moja ya nchi hizo, nyingine ni Rwanda, Angola, Chad, Ethiopia na Equatorial Guinea.

Angola, Equatorial...

 

11 years ago

Mwananchi

Sumaye ataka mipango kuimarisha uchumi

 Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ameonya kuwa iwapo kutakosekana mipango ya kuimarisha hali ya uchumi wa nchi , Taifa linaweza kujikuta likitumbukia kwenye janga la mifarakano kutokana na vijana wengi kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira.

 

11 years ago

Mwananchi

Sumaye ataka Watanzania kuacha ubinafsi

 Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuacha ubinafsi na kujitolea kwa jamii katika kukabiliana na majanga ya njaa, mazingira, maji na elimu ambayo yamekuwa ni chanzo cha pengo kati ya tabaka la matajiri na masikini nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

SUMAYE ATAKA WATANZANIA KUWA NA HOFU YA MUNGU

Waziri Mkuu mstaafu Mh. Frederick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha Mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika kuombea...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye ataka viwanda vya ndani vilindwe

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema kuwa ni vigumu kuuondoa umaskini nchini kama serikali haitaongeza uuzaji wa bidhaa zake nje ya nchi. Alisema serikali pia lazima ivilinde viwanda vyake vichanga...

 

11 years ago

Mwananchi

JK ataka wawekezaji waaminifu katika gesi

Rais Jakaya Kikwete amesema Tanzania inahitaji washirika wawekezaji waaminifu katika sekta ya gesi, ili kuwezesha Watanzania kunufaika kikamilifu na rasilimali hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda ataka ulinzi wa uhakika mitambo ya gesi

UJENZI wa mitambo ya uchakataji wa gesi katika eneo la Madimba umepamba moto na inaelezwa kuwa wanavijiji wa eneo hilo na wale wa Songosongo licha ya kufaidika na umeme, lakini pia watapewa huduma ya majisafi na salama bure.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ifute tozo hizi mpya Muhimbili

Jiji la Dar es Salaam na miji mingine nchini imeanzisha utaratibu wa kutoza fedha kwa ajili ya maegesho ya magari sehemu za katikati ya miji. Utaratibu huu, kwa kiasi fulani unasaidia kupunguza wingi wa magari yanayoingia mjini kwa sababu zisizo na msingi na hivyo kufanya kwa kiasi fulani kuwe na ahueni ya maegesho kwa magari muhimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe apanda kizimbani Himo, aiomba Mahakama ifute kesi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ameiomba mahakama kutupilia mbali kesi inayomkabili kwakuwa ni kesi  iliyotengenezwa  kutokana na chuki za kisiasa na jazba za kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita wa mwaka 2010.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani