Serikali ifute tozo hizi mpya Muhimbili
Jiji la Dar es Salaam na miji mingine nchini imeanzisha utaratibu wa kutoza fedha kwa ajili ya maegesho ya magari sehemu za katikati ya miji. Utaratibu huu, kwa kiasi fulani unasaidia kupunguza wingi wa magari yanayoingia mjini kwa sababu zisizo na msingi na hivyo kufanya kwa kiasi fulani kuwe na ahueni ya maegesho kwa magari muhimu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Nov
Sikika wapongeza kusitishwa tozo Muhimbili
SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Sikika limepongeza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kusitisha kutumika kwa viwango vipya vya gharama za matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
9 years ago
MichuziSERIKALI YANUNUA MASHINE MPYA YA CT-SCAN KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YENYE UWEZO WA HALI YA JUU
Serikali imenunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya takriban dola za Marekani milioni 1.7 yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam.
Ununuzi wa mashine hiyo, umefanyika kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoifanya hivi karibuni ambapo aliutaka uongozi wa hospitali hiyo kuboresha...
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Serikali nayo kuongeza tozo Uwanja wa Taifa
9 years ago
VijimamboWADAU WA USAFIRISHAJI WAIOMBA SERIKALI KUSIMAMISHA ONGEZEKO LA TOZO BANDARINI
10 years ago
Habarileo05 Sep
Sumaye ataka gesi ifute umasikini
ALIYEKUWA Waziri Mkuu, Frederick Sumaye, amesema Watanzania na wananchi wa mataifa ambako kumegundulika gesi na mafuta, wanapaswa kufahamu hatma ya kuondoa umasikini wa nchi yao, iko mikononi mwao.
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Muhimbili yapata CT Scan mpya
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Serikali ondoe dosari hizi
UCHAGUZI wa Serikali za Mtaa kwa upande wa Tanzania Bara unatarajiwe kufanyika Disemba 14 mwaka huu. Kabla ya tarehe ya kufanyika uchaguzi huu, yalikuwapo maneno mengi kutoka katika makundi mbalimbali...
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Mbowe apanda kizimbani Himo, aiomba Mahakama ifute kesi
10 years ago
Mtanzania01 Oct
Kwa hesabu hizi, Katiba Mpya shakani
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
RASIMU ya Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba ipo shakani kuweza kupitishwa bungeni, MTANZANIA limebaini.
Kutokana na sheria ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013, ili Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iweze kupitishwa, inahitajika kuungwa mkono na theluthi mbili ya wajumbe wa Bunge Maalumu kutoka kila upande wa Muungano.
Idadi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la...