Kwa hesabu hizi, Katiba Mpya shakani
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
RASIMU ya Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba ipo shakani kuweza kupitishwa bungeni, MTANZANIA limebaini.
Kutokana na sheria ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013, ili Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iweze kupitishwa, inahitajika kuungwa mkono na theluthi mbili ya wajumbe wa Bunge Maalumu kutoka kila upande wa Muungano.
Idadi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Katiba mpya shakani
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likitarajia kuanza vikao vyake keshokutwa mjini Dodoma, upatikanaji wa katiba mpya upo shakani, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa. Wasiwasi wa upatikanaji wa katiba mpya unatokana na...
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Sendeka: Katiba mpya shakani
MJUMBE wa Bunge Malalumu la Katiba, Christopher ole Sendeka, ameonyesha wasiwasi wake wa kutopatikana kwa Katiba mpya kutokana na sheria ya Mabadiliko ya Katiba Ibara ya 26(2) kukosa mbadala. Mjumbe...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Bunge la Katiba Mpya shakani
10 years ago
MichuziKAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 31 DESEMBA, 2012 BAADA YA RIPOTI YA CAG, KWA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC)
Mbunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Ismail Rage akichangia mada wakati wa kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya...
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Kwa Bunge hili na hoja hizi, tutapata katiba inayofaa?
MWANICHEFUA naapa! Mmeenda Dodoma tukiwa taifa moja, lakini kwa hisia zenu hizi zilizokosa uzalendo mnaweza mkarudi mkatuachia nchi iliyo vipande vipande. Nasema hata yale ya posho mie wacha tu nikae...
10 years ago
Mwananchi22 Feb
MCHAKATO KATIBA MPYA: Hamad: Kwa nini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
MJADALA WA KATIBA MPYA: Asasi za kiraia kuelimisha jamii kwa kugawa CD, flash za Katiba
BAADA ya Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar na hatimaye Tanzania iliyotokana na muungano wa nchi hizo mwaka 1964, wananchi hawakuwahi kupewa fursa ya kushiriki katika utungaji wa Katiba ya nchi....
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
Hizi salamu za heri ya mwaka mpya toka kwa Nisha na Zamaradi zinatuhusu sote
Tukiwa tumebakiza siku chache tu kabla ya kumalizika kwa mwaka 2014. Mastaa hawa wawili toka tasnia ya filamu nchini wametoa salamu hizi za mwisho wa mwaka ambazo zinamhusu kila mtu. Ukitafakari vizuri na kuamua kufanyia kazi yaliyosema linaweza kuwa jambo la maana sana kwako.
Salma Jabu - Nisha
"Kila binaadam anaijua leo kesho haijui,tumebakisha siku chache inshaallah mwaka uishe,sijui km ntafika au sifiki. Kikubwa leo hii ambayo nimeiona naomba nichukue fursa hii kumuomba msamaha...
11 years ago
MichuziTAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.