Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.

Na Tiganya Vincent-Dodoma   Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Abdallah ametoa wito kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wanaweka maslahi ya mwanamke mbele katika uandishi wa Katiba mpya na sio vinginevyo.   Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati anafungua semina ya siku moja ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa kuwanoa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Wanamtandao wa Wanawake na Katiba na TAMWA wamalizika jijini Dar

Usu Mallya Mwanamtandao wa Ulingo wa Katiba na wanawake ambaye alikuwa ndiye mwezeshaji wa Mkutano huo ambao  ulikuwa ni wa siku mbili akiendelea kutoa mwongozo wa mkutano huo.

Doreen E. Maro kutoka TAMPRODA ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha Wafugaji Akileta Mrejesho wa walichokuwa wakikijadili katika Kundi lao juu ya mapendekezo ya kuimarisha Masuala muhimu ya Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya.

 

Dkt. Macca A. Mbalwa, Mkurugenzi wa Giyedo Tanzania akiwa anatoa...

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WALIPONGEZA BUNGE LA KATIBA KUONESHA USAWA WA JINSIA‏

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Lilian Liundi wa TGNP Mtandao akizungumza. MTANDAO wa Wanawake na Katiba wenye mashirika zaidi ya 50 yanayotetea haki za wanawake katika Katiba mpya, umelipongeza mchakato na matokeo ya  uchaguzi wa kuwapata viongozi wa Bunge Maalum la Katiba (Mwenyekiti na Makamu wake) ambao umezingatia usawa wa jinsia. Kauli hiyo imetolewa leo kwa vyombo vya habari na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Lilian Liundi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lizingatie usawa wa kijinsia

BUNGE Maalumu la Katiba, wiki inayoanza kesho litaingia katika hatua nyingine muhimu ya kupokea taarifa ya rasimu ya pili ya Katiba kutoka kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba  na baadaye...

 

11 years ago

Michuzi

Zoezi la kuapishwa wabunge wa bunge maalum la katiba mpya laendelea vyema mjini dodoma

 Mhe. Mchungaji Christopher Mtikila, akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya mjini Dodoma leo katika zoezi linaloendelea vyema . Mhe. Emmanueli Makaidi akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya  Mhe Tundu Lisu akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya Mhe Mkosamali  akiapa kuwa mbunge wa Bunge Maalum la kuandika katiba mpya. Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Dodoma

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWANOA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM‏ LA KATIBA

Mkurugenzi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT), Mary Rusimbi akiwasilisha mada katika mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakijiandikisha kabla ya kuanza kwa…

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi na wajumbe wengine wa mtandao wa wanawake na Katiba.Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.---------------------------------------------------MTANDAO wa Wanawake na Katiba Tanzania umewapongeza wajumbe wa Bunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani