Mkutano wa kuwanoa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Wanamtandao wa Wanawake na Katiba na TAMWA wamalizika jijini Dar
Usu Mallya Mwanamtandao wa Ulingo wa Katiba na wanawake ambaye alikuwa ndiye mwezeshaji wa Mkutano huo ambao ulikuwa ni wa siku mbili akiendelea kutoa mwongozo wa mkutano huo.
Doreen E. Maro kutoka TAMPRODA ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha Wafugaji Akileta Mrejesho wa walichokuwa wakikijadili katika Kundi lao juu ya mapendekezo ya kuimarisha Masuala muhimu ya Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya.
Dkt. Macca A. Mbalwa, Mkurugenzi wa Giyedo Tanzania akiwa anatoa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4XiULCL5PRo/Uwm2iUJ_QDI/AAAAAAAFO1E/Tb_N4-HiJP8/s72-c/bu2.jpg)
wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakutana mjini Dodoma
![](http://1.bp.blogspot.com/-4XiULCL5PRo/Uwm2iUJ_QDI/AAAAAAAFO1E/Tb_N4-HiJP8/s1600/bu2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tHjNDCeH_oo/Uwm2l0xHJfI/AAAAAAAFO1M/MdzZIIYIkFU/s1600/bu4.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6EOHkW_13kk/Uy3ZA6HM2XI/AAAAAAAFVsA/25uSffzyo6A/s72-c/unnamed+(55).jpg)
TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0528.jpg?width=650)
MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWANOA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi26 Sep
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba
![Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/m8cdBlx8iECl07lgecM4ereL6z_GbOh3tUadh62rn422chXgPsPTnJHdcv-x1j1MxWBmgSOvMIDVuzErtbHqt1mSo93mbA_UpwfgTJ76vkNQlCJekyo=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0134.jpg)
![Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/Qh13ySPsV1yD99prfBkyxntjJa03R9Yw8Qlnu3rxYw5IJd4RTvkGetB-ckBG38daGLR0Gv9VcYWSzA-4tviSK0dxCp7LVSV5Ye1r3cIUkK_1qZJ3m4um=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_01911.jpg)
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawanoa Wajumbe Bunge Maalum
![Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0634.jpg)
Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.
![Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakijiandikisha kabla ya kuanza kwa mkutano.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0493.jpg)
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakijiandikisha kabla ya kuanza kwa mkutano.
![Mkurugenzi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT), Mary Rusimbi akiwasilisha mada katika katika mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0528.jpg)
Mkurugenzi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT), Mary Rusimbi akiwasilisha mada katika katika mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.
![Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Ruth Meena akiwasilisha mada.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0613.jpg)
Mjumbe...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Mtandao wa wanawake na katiba wawapongeza wajumbe wa Bunge la Katiba!
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi na wajumbe wengine wa mtandao wa wanawake na Katiba.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.
![Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_01441.jpg)
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
![Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_01461.jpg)
Baadhi ya waandishi wa habari...