wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakutana mjini Dodoma
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Suzan Lyimo(kulia) wakibadlishana mawazo mjini Dodoma wakati wa semina kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya. Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa kwa wajumbe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi20 Feb
taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Mkutano wa kuwanoa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Wanamtandao wa Wanawake na Katiba na TAMWA wamalizika jijini Dar
Usu Mallya Mwanamtandao wa Ulingo wa Katiba na wanawake ambaye alikuwa ndiye mwezeshaji wa Mkutano huo ambao ulikuwa ni wa siku mbili akiendelea kutoa mwongozo wa mkutano huo.
Doreen E. Maro kutoka TAMPRODA ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba akiwakilisha Wafugaji Akileta Mrejesho wa walichokuwa wakikijadili katika Kundi lao juu ya mapendekezo ya kuimarisha Masuala muhimu ya Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya.
Dkt. Macca A. Mbalwa, Mkurugenzi wa Giyedo Tanzania akiwa anatoa...
11 years ago
MichuziKUTOKA BUNGENI: WAZIRI MKUU AKIWA NA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
11 years ago
GPLMTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWANOA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi26 Sep
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawanoa Wajumbe Bunge Maalum
Baadhi ya wahariri wa vyombo anuai vya habari wakiuliza maswali kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakijiandikisha kabla ya kuanza kwa mkutano.
Mkurugenzi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT), Mary Rusimbi akiwasilisha mada katika katika mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba.
Mjumbe...