Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hizi salamu za heri ya mwaka mpya toka kwa Nisha na Zamaradi zinatuhusu sote

Tukiwa tumebakiza siku chache tu kabla ya kumalizika kwa mwaka 2014. Mastaa hawa wawili toka tasnia ya filamu nchini wametoa salamu hizi za mwisho wa mwaka ambazo zinamhusu kila mtu. Ukitafakari vizuri na kuamua kufanyia kazi yaliyosema linaweza kuwa jambo la maana sana kwako.

 

Salma Jabu - Nisha

 

"Kila binaadam anaijua leo kesho haijui,tumebakisha siku chache inshaallah mwaka uishe,sijui km ntafika au sifiki. Kikubwa leo hii ambayo nimeiona naomba nichukue fursa hii kumuomba msamaha...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HERI YA MWAKA MPYA TANZANIA NA SOUTH AFRICA TOKA KWA MAMA BISHANGA NA MUMEWE NA WAJUKUU

Wapendwa wanangu Sizelina, Kilian, Henrich/Kenny, Frolence na wajukuu Kilian /Mzungu na Maria Henrick, ndugu zangu na wa Tanzania wote na wa South Africa wote sisi Bwana na Bibi Marolen na wajukuu zetu Maria Kilian Kamota na Lailai Johnson tunawatakia furaha na amani ya mwaka mpya wa 2015 uwe wa baraka, mafanikio na upendo na amani kwenu wote. 
 Watoto Maria Kilian Kamota na Lailai Johnson wanasema next year, new year we will be there with dady Kilian and Henrick and aunt Size, and our young...

 

11 years ago

Bongo Movies

Hizi ndio salamu za birthday alizopata mwanadada kajala leo toka kwa mastaa mbalimbali

Leo hii mwanadada Kajala Masanja anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kama ilivyo ada mastaa na watu mbalimbali wamepa salam za pongezi mwanadada huyo mrembo wa bongomovies. Hizi ni baadhi tu ya salamu chache tulizoweza kuzipata.

 

BATULI: Happy birthday bint wa Masanja, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye afya njema, Born day yako imeangukia kwenye kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhan, Ingawa ww c muislam ila support kwa vitendo ili uwe miongoni mwa wenye rehma za Mwenyezi Mungu,...

 

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA SIKUU YA MAULID NA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda  Ras Makunja yenye maskani nchini ujerumani inawatakieni kila la heri katika siku kuu ya Maulid el Nabii Muhammad(S.W.A) pia Heri ya siku kuu ya Krismasi kwa wadau wote iwena amani,upendo,furaha na mshikamano bila kusahau kupata muziki at www.ngoma-africa.com au www.reverbnation.com/ngomaafricabandjumuika nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

 

10 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Salamu za Mbunge wa Nzega -CCM Dr. Hamisi Kigwangalla kwa Watanzania , Mwaka Mpya 2015


 Mbunge wa Nzega -CCM Dr Hamisi Kigwangalla-Ni Mwaka Mpya Tena! Dr. Hamisi Kigwangalla, MB.Ndugu Watanzania wenzangu,Kwa heshima na taadhima na kwa moyo wa kiutumishi, najisikia furaha kuwatumia salamu za Mwaka mpya 2015. Kwa hakika Mungu amekuwa mwema sana kwangu na kwako mwaka 2014 kwa namna nyingi mbalimbali, ila kwa kiasi kikubwa kwa kutujalia zawadi ya uhai, mafanikio kwenye kazi zetu, uvumilivu tulipoanguka, nguvu tulipokutana na changamoto mbalimbali, na uwezo wa kupambana nazo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Salamu za mwaka mpya za Rais Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa watanzania

h4

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

HOTUBA YA MWAKA 2015 – FINAL.doc by moblog

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani