HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA
Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies22 Jul
Hizi ndio salamu za birthday alizopata mwanadada kajala leo toka kwa mastaa mbalimbali
Leo hii mwanadada Kajala Masanja anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kama ilivyo ada mastaa na watu mbalimbali wamepa salam za pongezi mwanadada huyo mrembo wa bongomovies. Hizi ni baadhi tu ya salamu chache tulizoweza kuzipata.
BATULI: Happy birthday bint wa Masanja, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye afya njema, Born day yako imeangukia kwenye kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhan, Ingawa ww c muislam ila support kwa vitendo ili uwe miongoni mwa wenye rehma za Mwenyezi Mungu,...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Werema: Hakuna atakayebadili, fedha hizi si za umma
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Hizi ndio salamu za birthday alizopata Jokate leo. Ipo ya Wema sepetu, flaviana matata na wengine wengi.
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwanadada Jokate Mwegelo. Pamoja na salamu nyingi sana za pongezi toka kwa mashabiki wake mastaa hawa hapa chini nao hawakusita kumtakia mwanadada huyu kila la kheri katika siku yake hii.
Flaviana matata : Happy Birthday Jojo @jokatem many happy returns of the day kipenzi.
Elizabeth Michael : Happy birthday beautiful @jokatem have a good one mama...!i love u n u know that
Wema Sepetu: Awwwwww aint she jus adorable...... And she grew into it pretty well......
10 years ago
Uhuru Newspaper23 Dec
Hizi ni salamu kwa watendaji wazembe
NA KHADIJA MUSSARAIS Jakaya Kikwete, amesema watendaji watakaozembea katika kutelekeza majukumu yao watashughulikiwa kikamilifu. Amesema watendaji wanapaswa kufahamu kuwa serikali ipo na hukasirishwa pindi mambo yanapokwenda kinyume na matarajio. Pia amesema ameridhishwa na hatua zilizochukuliwa na Waziri wa Tawala na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia, wa kutengua nafasi za wakurugenzi sita, kusimamia wengine na kutoa onyo kali. Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, jana, Rais Kikwete...
10 years ago
Bongo Movies09 Aug
Hizi ni Salamu za Bond kwa Dada Doris wa COSOTA
Jamani naombeni mnifikishie salam zangu kwa dada Doris wa Cosota
Jana usiku wa tar 6/08/2015 kwa mara ya kwanza nadhani alijikuta anasimama pembeni ya rais wa jamhuli ya muungano Mh. JK na kujibu maswali magumu kwa njia nyepesi tu.
Amepewa muda wa wiki mbili kukamilisha ripoti ya masuala yetu wasanii yakiwemo ya mirabaha na mengineyo ya wazi wa kazi na masuala ya haki.
Kwanza nimpongeze sana kwa anavyojitahidi lakini kikubwa zaidi nisisi kama wasanii tunaomba awe muwazi kabisaa katika...
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
Hizi salamu za heri ya mwaka mpya toka kwa Nisha na Zamaradi zinatuhusu sote
Tukiwa tumebakiza siku chache tu kabla ya kumalizika kwa mwaka 2014. Mastaa hawa wawili toka tasnia ya filamu nchini wametoa salamu hizi za mwisho wa mwaka ambazo zinamhusu kila mtu. Ukitafakari vizuri na kuamua kufanyia kazi yaliyosema linaweza kuwa jambo la maana sana kwako.
Salma Jabu - Nisha
"Kila binaadam anaijua leo kesho haijui,tumebakisha siku chache inshaallah mwaka uishe,sijui km ntafika au sifiki. Kikubwa leo hii ambayo nimeiona naomba nichukue fursa hii kumuomba msamaha...
10 years ago
Bongo Movies27 Apr
Kwa Mwaka Huu, Hizi Ndio Movies Kutoka Jerusalem
Kutoka Jerusalem.Filamu inayokuja inaitwa MAHABUSU, washiriki ni marehem Adam Kuambiana, Regina na Ben Kinyaia.
Pia tunatarajia kuachia movie nyingine inaitwa Kalambati Lobo wahusika JB na Diana Kimaro.itafuatiwa na Chale Mvuvi wahusika ni Shamsa Ford,Haji Adam,Mzee Halinikuni Naakombora.
Baada ya hapo natafuta script ya kufungia mwaka.itategemea mwigizaji mnaemtaka kumuona.kazi kwenu.
Kutoka kwenye ukurasa wa JB mtandaoni
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Hizi ndio style 8 za nywele walizotamba nazo mastaa wa soka kwa mwaka 2015
Haya mtu wangu wa nguvu wakati tunaendelea kusherehekea sikuku ya mwaka mpya 2016, ninayo list ya style 9 za nywele zilizotamba kwa mastaa wa soka wa Ulaya kwa mwaka 2016. Stori kutoka 101greatgoals.com inawatala mastaa hawa ndio waliokuwa na style za nywele zilizotamba. Miongoni mwa mastaa waliotajwa ni Iniesta, Raheem Sterling na Paul Pogba. 1- […]
The post Hizi ndio style 8 za nywele walizotamba nazo mastaa wa soka kwa mwaka 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.