Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Werema: Hakuna atakayebadili, fedha hizi si za umma

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ameomba uamuzi wa wabunge utakaotolewa usiathiri kesi zilizopo mahakamani kuhusiana na mgogoro wa IPTL/ Escrow.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Waliosababishia Serikali hasara ya bn 40/- kukiona Na Mwandishi wetu Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu NchembaWizara ya Fedha imeziagiza taasisi zilizokabidhiwa jukumu la kuchunguza wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojihusisha katika kughushi malipo hewa ya wafanyakazi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 40 kila mwezi wafichuliwe.
 Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...

 

10 years ago

Habarileo

Werema asisitiza fedha za Escrow si za umma

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. Katikati ni Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge. (Na Mpigapicha Wetu).MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Federick Werema, amesema kwa msimamo wake, fedha za akaunti ya Tegeta Escrow zilizokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hazikuwa za umma na sakata la Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), ni upuuzi.

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku tano kuhusu mradi wa maboresho ya matumizi ya fedha za umma inayoendelea katika Hoteli Njuweni Kibaha. Bi.Ingiahedi alisema kuwa Serikali ya Tanzania ilianzisha mradi huo kwa madhumuni ya kuimarisha mifumo ya matumizi ya fedha katika ngazi zote.  Mradi huu umekuwa wa awamu 4 kutokana na mafanikio yanayojitokeza na changamoto.
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...

 

10 years ago

Mwananchi

Ujanani hakuna matatizo, hizi ni changamoto

Kuna msemo aliwahi kuniambia mwalimu wangu wa uandishi wa habari. Kipindi hicho ninaanza pale The Guardian miaka ya 1996, alikuwa akiitwa Gershom Mallebettoh, wenyewe tulikuwa tukimuita ‘Babu’, aliwahi kuniambia duniani hakuna kitu kinaitwa matatizo au kushindwa, hasa kwa mwanaume. Katika maisha ya kila siku kuna changamoto!

 

10 years ago

Mtanzania

Enrico: Hakuna Bongo Fleva siku hizi

NA HERIETH FAUSTINE

MTAYARISHAJI wa muziki kutoka studio ya Sound Crafters, Enrico Figueroa ‘Enrico’, amesema nyimbo zote
zinazotoka siku hizi hazina ubora, ndiyo maana haziwezi kudumu hata kwa miaka miwili.

“Mpaka sasa sijaona wimbo mkali, nyimbo zote ni sawa tu, zinakaa siku mbili, tatu au wiki nne zinapotea, hakuna
Bongo Fleva ya kukaa miaka miwili,” alisema Enrico, alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Planet Bongo
kinachorushwa na kituo cha runinga cha EATV.

Aliongeza kwamba ili wimbo...

 

10 years ago

Mwananchi

Maelezo ya Ikulu kuhusu fedha hizi hayajitoshelezi

Tumesoma kwa umakini maelezo ya Ikulu kuhusu mpango wake wa kutumia Sh2.5 milioni kufanya kile kinachoonekana kwa wengi kama propaganda na kampeni za kuitangaza Katiba Inayopendekezwa ili wananchi waipigie kura ya ‘ndiyo’.

 

11 years ago

Habarileo

‘Hakuna tatizo wabunge kuomba fedha LAPF’

IMEELEZWA kuwa suala la wabunge na mawaziri kuomba fedha kwa ajili ya maendeleo katika majimbo yao kwenye mifuko ya jamii na taasisi nyingine siyo baya, kwani wana fungu maalumu kwa ajili hiyo. Pia imeelezwa kuwa mbaya ni kukopa katika mifuko ya jamii na kushindwa kulipa, huku kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe akitajwa kukopa na sasa ana hati ya kukamatwa kutokana na tukio hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usimamizi fedha za umma waimarika

USIMAMIZI wa matumizi ya fedha za umma kwa kutumia mfumo wa kielektroniki (Epicor) katika Mamlaka za Serikali za Mitaa umeongezeka kutokana na kukamilika kwa  Mkongo wa Taifa wa mawasiliano nchini....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani