Ujanani hakuna matatizo, hizi ni changamoto
Kuna msemo aliwahi kuniambia mwalimu wangu wa uandishi wa habari. Kipindi hicho ninaanza pale The Guardian miaka ya 1996, alikuwa akiitwa Gershom Mallebettoh, wenyewe tulikuwa tukimuita ‘Babu’, aliwahi kuniambia duniani hakuna kitu kinaitwa matatizo au kushindwa, hasa kwa mwanaume. Katika maisha ya kila siku kuna changamoto!
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Oct
Hizi ni changamoto za wajasiriamali nchini - 5
10 years ago
Mtanzania06 Oct
Enrico: Hakuna Bongo Fleva siku hizi
NA HERIETH FAUSTINE
MTAYARISHAJI wa muziki kutoka studio ya Sound Crafters, Enrico Figueroa ‘Enrico’, amesema nyimbo zote
zinazotoka siku hizi hazina ubora, ndiyo maana haziwezi kudumu hata kwa miaka miwili.
“Mpaka sasa sijaona wimbo mkali, nyimbo zote ni sawa tu, zinakaa siku mbili, tatu au wiki nne zinapotea, hakuna
Bongo Fleva ya kukaa miaka miwili,” alisema Enrico, alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Planet Bongo
kinachorushwa na kituo cha runinga cha EATV.
Aliongeza kwamba ili wimbo...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Werema: Hakuna atakayebadili, fedha hizi si za umma
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Tuzikabili changamoto hizi za afya kwa nguvu zote
11 years ago
Vijimambo20 Sep
HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA

Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula
11 years ago
Habarileo29 Apr
DC- Matatizo ya Muungano ni ya mpito
UWEPO wa changamoto za Muungano ni kielelezo cha uhai wa Muungano wenyewe na si vinginevyo, kwani duniani hakuna muungano usio na changamoto.
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Utafiti wa matatizo ya akili