Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti wa matatizo ya akili

Watafiti nchini Uingereza wanasema, kuongezeka kwa vitendo viovu, kunaweza kuwa dalili za mwanzo za matatizo ya akili.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray

"(FREEDOM OF SPEECH)

Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)

Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tunapoua akili asilia na kukimbilia akili bandia

“...Zamani tulifundishwa mbinu za kudhibiti malaria kuwa ni kuua mazalia ya mbu ili mbu wasiwepo; leo watoto wetu wanapotoshwa kuwa mbinu ya kudhibiti malaria ni kutumia chandarua.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maradhi ya akili ni kero TZ

Tanzania, inasemekana kukabiliwa na uhaba wa wataalamu wa kuhudumia wagonjwa wa akili kutokana na idadi ya wagonjwa wenyewe

 

11 years ago

GPL

MATATIZO KATIKA MATITI

Matatizo ya matiti huwasumbua wanawake wengi na hata wanaume. Matatizo haya yapo ya aina nyingi, mfano uvimbe wa matiti, maumivu ya matiti au matiti kutoa maziwa au majimaji au damu. Tatizo hili hutokea katika umri wote kuanzia pale mwanamke anapovunja ungo hadi anapofikia ukomo wa hedhi. Matatizo ya matiti katika umri mkubwa kuanzia miaka 35 mara nyingi huambatana na saratani ya matiti. Jinsi tatizo linavyotokea Uvimbe wa matiti...

 

10 years ago

Raia Mwema

Matatizo 12 ya Taifa Stars

NILIPANGA makala hii kuwa na kichwa cha habari kisemacho “Matatizo 13 ya Taifa Stars” lakini kwa

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Tumekumbatia matatizo ya michezo

“Ngumi watembeza bakuli”, “Udhamini wakwamisha ligi ya kikapu”, “Soka yapoteza dira”, “Wanariadha wakimbia peku peku mashindano ya Taifa”, “Netiboli walumbana”, hivyo na vingine ndivyo vichwa vya habari katika magazeti yetu nchini mara kwa mara.

 

11 years ago

Habarileo

DC- Matatizo ya Muungano ni ya mpito

UWEPO wa changamoto za Muungano ni kielelezo cha uhai wa Muungano wenyewe na si vinginevyo, kwani duniani hakuna muungano usio na changamoto.

 

10 years ago

Vijimambo

MATATIZO YA NDOA NA UMRI

MWANAUME MKUBWA ANAYEOA MSICHANA MDOGOImekuwa ni kawaida katika jamii za kiafrika wanaume wenye umri mkubwa sana kuoa wasichana wenye umri mdogo ambao wanaweza hata kuwazaa.Katika hili imekuwa ni kama fashion kwa wasichana kiasi wamekosa hata zile haya walizokuwa nazo wazazi wetu enzi za zamani.Wasichana wengi wametokea kujidumbukiza kuolewa na mababa wakubwa sana hari si kuwa wanapenda kuolewa na wazee waliowazidi umri kwa kiasi kikubwa.Wachache kati yao wanapenda kuolewa na watu wazima na...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani