DC- Matatizo ya Muungano ni ya mpito
UWEPO wa changamoto za Muungano ni kielelezo cha uhai wa Muungano wenyewe na si vinginevyo, kwani duniani hakuna muungano usio na changamoto.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Jan
Rais wa mpito CAR ajiuzulu
Rais wa mpito katika Jamhuri ya Afrika ya Kati Michel Djotodia amejiuzulu baada ya wiki kadhaa za vurugu za kidini
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Rais wa mpito aapishwa CAR
Rais wa mpito katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Catherine Samba Panza, ameapishwa katika sherehe maalum mjini Bangui.
11 years ago
Mwananchi12 Mar
Bila maridhiano tutapata Katiba ya Mpito
Bunge Maalumu la Katiba liliahirishwa jana asubuhi baada ya kupitisha Kanuni zitakazotumika wakati litakapoanza awamu ya pili kwa kumchagua mwenyekiti wa kudumu na baadaye kujadili Rasimu ya Katiba kabla ya kuandika Katiba Mpya
11 years ago
BBCSwahili20 Jan
Wabunge CAR kumchagua Rais wa mpito
Wabunge katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wameanza mkutano wa kumchagua Rais wa mpito, huku ghasia zikiendelea kati ya waisilamu na wakristo
10 years ago
BBCSwahili17 Nov
Burkina Faso yapata rais wa mpito
Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Burkina Faso Michel Kafando, ametajwa kuwa rais wa mpito nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili08 Dec
Japan katika kipindi cha mpito kiuchumi
Takwimukutoka katika serikali ya Japan zinaonesha kwamba uchumi wa nchi hiyo unashuka kwa asilimia 1.9 kwa mwaka.
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
Serikali ya mpito yavunjiliwa mbali Burkina faso
Rais wa mpito Michel Kafando amepokonywa madaraka yake huku serikali yake ikivunjiliwa mbali,kwa mujibu wa afisa mmoja wa jeshi aliyezungumza katika runninga ya taifa la nchi hiyo RTB.
10 years ago
GPLGUY SCOTT ATEULIWA KUWA RAIS WA MPITO NCHINI ZAMBIA
Mhe. Guy Scott. KUFUATIA kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea tarehe 28 Oktoba 2014, mjini London na kwa kuzingatia Katiba yake Kifungu cha 38 (1) kinachohusu mamlaka ya Rais, kwamba nafasi ya Rais ikiwa wazi kwa sababu yoyote ile, Makamu wa Rais atakaimu madaraka ya kiti cha Urais hadi uchaguzi mdogo utakapofanyika ndani ya siku tisini (90), hivyo Serikali imemteua Mhe. Guy Scott (MB), Makamu wa Rais, kukaimu...
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
MICHEL KAFANDO: Rais mteule serikali ya mpito Burkina Faso
NOVEMBA 10 mwaka huu Burkina Faso ilikamilisha rasimu ya mkataba ya mpito ambayo ilisababisha upinzani na vyama vya kiraia nchini humo kuafikiana kuhusu baadhi ya vifungu hususan kugawana madaraka katika taasisi mbalimbali...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania