Bila maridhiano tutapata Katiba ya Mpito
Bunge Maalumu la Katiba liliahirishwa jana asubuhi baada ya kupitisha Kanuni zitakazotumika wakati litakapoanza awamu ya pili kwa kumchagua mwenyekiti wa kudumu na baadaye kujadili Rasimu ya Katiba kabla ya kuandika Katiba Mpya
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
DC: Katiba haitapatikana bila maridhiano
MKUU wa Wilaya ya Kongwa (DC), mkoani Dodoma, Alfred Msovella, amesema kamwe katiba mpya haiwezi kupatikana bila kuwepo na maridhiano ya kweli kwani katiba ni mali ya wananchi na siyo...
11 years ago
Michuzi.jpg)
MISINGI YA USAWA WA JINSIA IKILINDWA KATIKA KATIBA MPYA, TUTAPATA KATIBA YENYE MRENGO WA JINSIA
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Ngeleja: Tutapata Katiba mpya salama
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, William Ngeleja, amesema anaamini mchakato wa Katiba mpya utapatikana kwa amani na utulivu. Alisema licha ya baadhi ya wanasiasa kuanza kutoa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Kwa Bunge hili na hoja hizi, tutapata katiba inayofaa?
MWANICHEFUA naapa! Mmeenda Dodoma tukiwa taifa moja, lakini kwa hisia zenu hizi zilizokosa uzalendo mnaweza mkarudi mkatuachia nchi iliyo vipande vipande. Nasema hata yale ya posho mie wacha tu nikae...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Tunahitaji katiba ya maridhiano
KESHOKUTWA Bunge Maalum la Katiba, lililoahirishwa Aprili 16 mwaka huu, linatarajia kuendelea na vikao vyake bila uwepo wa wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). UKAWA walisusia vikao vya...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Tunahitaji katiba yenye maridhiano
MIONGONI mwa habari zilizopo kwenye gazeti hili leo, ni kauli ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu, akimtaka Rais Jakaya Kikwete, awaombe radhi Watanzania kwa...
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Katiba itapatikana kwa maridhiano
11 years ago
Mwananchi07 May
Warioba ahimiza maridhiano Bunge la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima14 May
SCOC wataka maridhiano Bunge la Katiba
KAMATI Maalumu ya Wataalamu wa Katiba (SCOC) imetaka mamlaka ya juu ya nchi kuutafutia suluhu mgogoro uliosababisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge Maalumu la Katiba....