Ngeleja: Tutapata Katiba mpya salama
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, William Ngeleja, amesema anaamini mchakato wa Katiba mpya utapatikana kwa amani na utulivu. Alisema licha ya baadhi ya wanasiasa kuanza kutoa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMISINGI YA USAWA WA JINSIA IKILINDWA KATIKA KATIBA MPYA, TUTAPATA KATIBA YENYE MRENGO WA JINSIA
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Ngeleja: Katiba mpya itapatikana
MCHAKATO wa uundwaji wa katiba mpya katika siku za hivi karibuni umepata mtikisiko mkubwa baada ya baadhi ya wajumbe wanaounda Bunge Maalumu la Katiba kuamua kususia mchakato huo. Wajumbe hao...
11 years ago
Mwananchi12 Mar
Bila maridhiano tutapata Katiba ya Mpito
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Kwa Bunge hili na hoja hizi, tutapata katiba inayofaa?
MWANICHEFUA naapa! Mmeenda Dodoma tukiwa taifa moja, lakini kwa hisia zenu hizi zilizokosa uzalendo mnaweza mkarudi mkatuachia nchi iliyo vipande vipande. Nasema hata yale ya posho mie wacha tu nikae...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Ngeleja aonya wabunge wa katiba
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, William Ngeleja, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba litakaloanza vikao vyake wiki ijayo wasiweke mbele masilahi ya vyama wanapoijadili rasimu...
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Ngeleja atetea mjadala wa Katiba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, William Ngeleja, amesema mjadala wa katiba mpya ni mjadala wenye tija kwa taifa na watanzania kwa ujumla. Ngeleja ambaye pia ni Mbunge wa Sengerema,...
11 years ago
MichuziWAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...
11 years ago
GPLWAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Ngeleja: Mjadala wa katiba usiwe wa Serikali tatu tu