Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISINGI YA USAWA WA JINSIA IKILINDWA KATIKA KATIBA MPYA, TUTAPATA KATIBA YENYE MRENGO WA JINSIA

Baadhi ya Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba wakiimba kwa furaha wakati wa semina iliyofanyika 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (wa kwanza kulia) akipitia taarifa ya mapendekezo ya mtandao wa wanawake na Katiba Tanzania wakati wa semina iliyofanyika 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma. Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Bi. Usu Mallya akitoa mada kuhusiana na suala la kijinsia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Usawa wa jinsia uwe tunu ya taifa Katiba mpya’

WANAHARAKATI wanawake wamewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuongeza usawa wa kijinsia kwenye tunu za taifa. Zilitajwa tunu saba za taifa zilizopo kwenye rasimu ya Katiba inayojadiliwa bungeni hivi...

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WALIPONGEZA BUNGE LA KATIBA KUONESHA USAWA WA JINSIA‏

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Lilian Liundi wa TGNP Mtandao akizungumza. MTANDAO wa Wanawake na Katiba wenye mashirika zaidi ya 50 yanayotetea haki za wanawake katika Katiba mpya, umelipongeza mchakato na matokeo ya  uchaguzi wa kuwapata viongozi wa Bunge Maalum la Katiba (Mwenyekiti na Makamu wake) ambao umezingatia usawa wa jinsia. Kauli hiyo imetolewa leo kwa vyombo vya habari na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Lilian Liundi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake wataka umuhimu wa uwepo wa masuala ya jinsia katika Katiba

Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Anna Abdallah akifungua Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.Katibu wa Umoja wa Wanawake Wabunge Tanzania (TWPG), Mhe. Angellah Kairuki (MB) akizungumzia masuala mbalimbali ya kijinsia katika Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Tutapata Katiba mpya salama

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, William Ngeleja, amesema anaamini mchakato wa Katiba mpya utapatikana kwa amani na utulivu. Alisema licha ya baadhi ya wanasiasa kuanza kutoa...

 

11 years ago

Michuzi

TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.

Na Tiganya Vincent-Dodoma   Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Abdallah ametoa wito kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wanaweka maslahi ya mwanamke mbele katika uandishi wa Katiba mpya na sio vinginevyo.   Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati anafungua semina ya siku moja ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mjadala wa usawa wa jinsia

BBC iliendesha mjadala wa Global Questions Nairobi ambapo Waafrika wa kawaida walihusika kuuliza jopo la wataalam jinsi wanawake wanaweza kushiriki kikamilifu kushawishi maamuzi na kubadili hali ya baadaye ya bara Afrika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mjadala kuhusu usawa wa jinsia

Usawa wa jinsia na kuwezesha wanawake yamekuwa masuala makuu barani Afrika, lakini kumekuwa na hisia tofauti kuhusu juhudi za wanawake kupigania usawa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kinahitajika chombo cha usawa wa jinsia

TUME ya kusimamia haki za wanawake na usawa wa jinsia ni moja ya vyombo vya uwajibikaji vinavyowekwa kisheria vya kusimamia utekelezaji wa misingi hizi kama ilivyobainishwa katika sheria za nchi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani