Ngeleja: Mjadala wa katiba usiwe wa Serikali tatu tu
>Mwenyekiti Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, William Ngeleja, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wasijikite katika kujadili suala la muundo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano tu, bali waangalie pia masuala mengine yanayogusa masilahi ya nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Ngeleja atetea mjadala wa Katiba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, William Ngeleja, amesema mjadala wa katiba mpya ni mjadala wenye tija kwa taifa na watanzania kwa ujumla. Ngeleja ambaye pia ni Mbunge wa Sengerema,...
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Msigallah: Mjadala usiwe wa Muungano pekee
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
CUF yasisitiza serikali tatu Katiba mpya
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kitatetea maoni ya wananchi waliyoyatoa wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipokusanya maoni ya rasimu ya Katiba mpya ya kutaka serikali tatu. Hayo yalisemwa juzi...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Lembeli:Serikali tatu ilikuwa suluhisho la katiba
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Mzimu wa serikali tatu bado walitesa Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Serikali tatu au mbili zipo hata sasa ndani ya Katiba
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Serikali tatu ‘matakwa ya wananchi’, Warioba aliambia Bunge la #Katiba [VIDEO]
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Bunge la #Katiba: 'Wachache' wakomalia serikali tatu, 'Wengi' walia na mbili [VIDEO]
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Uwenyekiti Bunge la Katiba usiwe wa majaribio