Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF yasisitiza serikali tatu Katiba mpya

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kitatetea maoni ya wananchi waliyoyatoa wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipokusanya maoni ya rasimu ya Katiba mpya ya kutaka serikali tatu. Hayo yalisemwa juzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CWT yasisitiza msimamo wao ni serikali tatu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimesisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni muundo wa serikali tatu. Akizungumza na waandishi wa  habari jijini Dar es Salaam jana, Rais wa CWT, Gratian...

 

10 years ago

Habarileo

CUF yasisitiza Serikali ya Umoja wa Kitaifa Z’bar

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya wananchi (Ukawa), Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana juu ya uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR ulioanza wiki hii mkoani Njombe. Kushoto ni Mwenyekiti Mwenza na Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe. (Na Mpigapicha Wetu).CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema msimamo wake ni kuendelea kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, kiwe kimeingia madarakani au la.

 

11 years ago

Habarileo

CCM yasisitiza serikali mbili katika Katiba

KATIBU wa Idara ya Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema CCM bado ni muumini mkubwa wa sera ya Serikali mbili katika Muungano.

 

10 years ago

Mwananchi

CUF kuandamana siku tatu kupinga Bunge la Katiba

Chama cha Wananchi (CUF) kitafanya maandamano ya siku tatu za kazi kupinga kuendelea kufanyika kwa vikao vya Bunge la Katiba ambayo yatafanyika katika mikoa ya Dodoma na Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Agenda ya CUF mchakato wa Katiba Mpya

Wakati viongozi wa CCM wakizunguka jimbo kwa jimbo kutetea Mfumo wa Muungano wa Serikali mbili, Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema hakiungi mkono hata pendekezo lililotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba la kutaka Muungano wa Serikali tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Lembeli:Serikali tatu ilikuwa suluhisho la katiba

Mbunge wa Kahama, James Lembeli anatoka chama tawala (CCM), lakini msimamo wake kwenye mchakato wa Katiba ulikuwa tofauti na makada wenzake.

 

11 years ago

Mwananchi

Ngeleja: Mjadala wa katiba usiwe wa Serikali tatu tu

>Mwenyekiti Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na  Utawala, William Ngeleja, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wasijikite katika kujadili suala la muundo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano tu, bali waangalie pia masuala mengine yanayogusa masilahi ya nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA : Kura tatu zawaweka njiapanda Wazanzibari

Wananchi wa Zanzibar wapo katika matayarisho ya kupiga kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa baada ya Bunge la Katiba kukamilisha majukumu yake Oktoba mwaka huu na kubakia kura ya maoni mwakani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CUF: Uundaji Katiba unahitaji serikali ya kitaifa

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuunda serikali ya umoja wa kitaifa itakayosimamia na kukamilisha mchakato wa Katiba mpya. Alisema kwa sasa kuna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani