Serikali tatu ‘matakwa ya wananchi’, Warioba aliambia Bunge la #Katiba [VIDEO]
Kati ya wananchi 38,000 waliotoa maoni yao kuhusu Muungano, 19,000 walizungumzia suala la muundo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Mar
'Msiige ovyo #Katiba za wenzenu,' Wako aliambia Bunge Dodoma [VIDEO]
Wako ameipongeza Tanzania kwa kuwa tayari kupeleka mapendekezo ya Bunge Maalum la Katiba moja kwa moja kwa wananchi.
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Bunge la #Katiba: 'Wachache' wakomalia serikali tatu, 'Wengi' walia na mbili [VIDEO]
Serikali ya Muungano iliyopendekezwa na Rasimu ya Pili ya Katiba yaweza kujiendesha kwa kutafuta vyanzo mbalimbali vya mapato.
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Mzimu wa serikali tatu bado walitesa Bunge la Katiba
 Mfumo wa muundo wa Muungano wa serikali tatu uliopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba umeendelea kuwa mzigo kwa Bunge la Katiba kutokana kuwapo kwa msigano mkubwa miongoni mwa wajumbe, licha ya wengi wao kuwa makada wa CCM.
11 years ago
TheCitizen18 Mar
‘Wananchi want a 3-govt Union’, Warioba tells raucous #Katiba House [VIDEO]
Proposals for a 3-tier union structure purely reflect the will of the people, Katiba Team chair Judge (Rtd) Joseph Warioba told the Constituent Assembly in Dodoma today.
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Kingunge ataka wanaomshambulia Warioba Bunge la #Katiba sasa ‘waufyate’ [VIDEO]
Mzee Ngombale-Mwiru amewatahadharisha wajumbe wasivuke mipaka, akiwaeleza hawakwenda Dodoma kuipiga vijembe timu ya Warioba.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Warioba: Serikali tatu si mzigo
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ametetea muundo wa serikali tatu kuwa hauna gharama, tofauti na inavyotafsiriwa na wengi. Mbali na kutetea gharama...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Wananchi walicharukia Bunge la #Katiba, wataka liache tamaa, lisipoteze muda [VIDEO]
VITENDO vinavyofanywa na wajumbe wa Bunge la Katiba vinadhihirisha hawakwenda Dodoma kutengeneza Katiba Mpya, bali wako mjini hapa kimaslahi zaidi.Â
11 years ago
Mwananchi15 Jan
‘Warioba chanzo cha Serikali tatu’
Mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo amesema haafiki mapendekezo yaliyomo katika rasimu ya pili ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano yanayopendekeza muundo wa Serikali tatu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania