Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Warioba chanzo cha Serikali tatu’

Mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo amesema haafiki mapendekezo yaliyomo katika rasimu ya pili ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano yanayopendekeza muundo wa Serikali tatu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Warioba: Serikali tatu si mzigo

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ametetea muundo wa serikali tatu kuwa hauna gharama, tofauti na inavyotafsiriwa na wengi. Mbali na kutetea gharama...

 

11 years ago

Habarileo

Bomani amtetea Warioba serikali tatu

JAJI mstaafu, Mark Bomani amemtetea Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa kusisitiza kuwa siyo mwanzilishi wa serikali tatu na kwamba amewasilisha mapendekezo yaliyopitishwa na wajumbe wa Tume hiyo. Bomani alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwandosya: Alichokosea Warioba ni Serikali tatu tu

Katiba inayopendekezwa tayari imekabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, ikisubiri kupigiwa kura ya maoni mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba: Hata Nyerere angebadili mawazo kuhusu Serikali tatu

>Kazi ya miezi 20 ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kukusanya maoni ya Watanzania na kutoa Rasimu ya Katiba itakayojadiliwa katika Bunge la Katiba na baadaye wananchi kuipigia kura ya maoni ili iwe Katiba imekamilika.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali tatu ‘matakwa ya wananchi’, Warioba aliambia Bunge la #Katiba [VIDEO]

Kati ya wananchi 38,000 waliotoa maoni yao kuhusu Muungano, 19,000 walizungumzia suala la muundo.

 

9 years ago

StarTV

Uongozi DP waitaka Serikali kufuatilia kwa makini chanzo kifo cha mtikila

Chama cha Democratic DP kimeiomba Serikali na vyombo vya dola kufuatilia kwa kina chanzo cha kifo cha mwenyekiti wa chama hicho Mchungaji Christopher Mtikila kufuatia kuibuka utata wa kifo hicho kilichotokea kwa ajali ya gari Octoba NNE mwaka huu

Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya amesema wameshangazawa na kushtushwa na ajali hiyo na wanafikiri ni ajali ya kupangwa

Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya amesema Mchungaji Mtikila...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yatoa Ufafanuzi juu ya uzushi wa kifo cha Rais wa Awamu ya Tatu

Na Georgina Misama-MAELEZO Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene amekanusha taarifa za uzushi zinazosambazwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa. Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Bw. Mwambene amesema kuwa Mhe. Rais Mkapa ni mzima na mwenye afya nzuri   anaendelea na shughuli zake kila siku kama kawaida. “Mhe. Rais Benjamin William Mkapa ni...

 

11 years ago

Mwananchi

Molloimet: Kukataa serikali tatu, CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

Agosti 5 mwaka huu, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanatarajiwa kuanza kukutana tena mjini Dodoma kujadili rasimu ya mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

GPL

FAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY

Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' enzi za uhai wake. Familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo chake. Familia hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki dunia akiwa hospitali. Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani