Uongozi DP waitaka Serikali kufuatilia kwa makini chanzo kifo cha mtikila
Chama cha Democratic DP kimeiomba Serikali na vyombo vya dola kufuatilia kwa kina chanzo cha kifo cha mwenyekiti wa chama hicho Mchungaji Christopher Mtikila kufuatia kuibuka utata wa kifo hicho kilichotokea kwa ajali ya gari Octoba NNE mwaka huu
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya amesema wameshangazawa na kushtushwa na ajali hiyo na wanafikiri ni ajali ya kupangwa
Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya amesema Mchungaji Mtikila...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Berry Black aeleza chanzo cha kuvunjika kwa kundi lao.. amepata uongozi mpya? stori iko hapa
Inawezekana ulikuwa na hamu ya kufahamu chanzo cha kutengana kwa wasanii wawili wanaounda kundi la 2 Berry (Berry Black & Berry White) mwaka 2006. Akiongea exclusive interview na ripota wa millardayo.com Berry Black ambaye kwasasa makazi yake yapo Dar es Salaam huku kazi zake zikiwa zinasimamiwa na Mkurugenzi wa TMK Wanaume Family, Said Fella….’Chanzo cha […]
The post Berry Black aeleza chanzo cha kuvunjika kwa kundi lao.. amepata uongozi mpya? stori iko hapa appeared first on...
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Sababu kifo cha Mtikila
9 years ago
Mtanzania07 Oct
DP yatilia shaka kifo cha Mtikila
NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Chama Cha Demokratic (DP), umesema una shaka na mazingira ya ajali iliyosababisha kifo cha mweyekiti wa chama hicho, Mchungaji Christopher Mtikila.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Mikocheni Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya alisema kuna mambo yanashitusha namna tukio zima lilivyotokea.
Alisema kuna picha zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii, zikionesha jinsi Mtikila alivyopata ajali.
“Tukio hili...
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Siri kifo cha Mtikila yafichuka
NA GUSTAPHU HAULE, PWANI NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
SIRI ya kifo cha aliyekuwa mwanasiasa nguli na Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, imeanza kufichuka.
Uchunguzi wa kitabibu umebaini kuwa, Mchungaji Mtikila alifariki dunia baada ya kuvunjika mbavu nane, huku damu nyingi ikivujia katika mfumo wa hewa, kitendo kilichosababisha ashindwe kupumua.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffari Ibrahim...
9 years ago
GPLMASWALI 10 TATA KIFO CHA MTIKILA!
9 years ago
Dewji Blog05 Oct
JK aomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na maombolezo kumlilia Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani), ambaye alipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea alfajiri ya leo, Jumapili, Oktoba 4, 2015, katika Kijiji cha Msolwa, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Chama cha DP, Rais Kikwete amesema: “ Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa...
10 years ago
GPLFAMILIA YAWEKA WAZI CHANZO CHA KIFO CHA SECKY
10 years ago
GPL17 Feb
9 years ago
Vijimambo06 Oct
Polisi yaeleza sababu kifo cha Mtikila
Mchungaji Mtikila alifariki dunia juzi alfajiri baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam, likiwa katika mwendo mkali, kuacha njia na kupinduka. Alirushwa nje kupitia kioo cha mbele kutokana na kutofunga mkanda.
Katika ajali...