Siri kifo cha Mtikila yafichuka
NA GUSTAPHU HAULE, PWANI NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
SIRI ya kifo cha aliyekuwa mwanasiasa nguli na Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, imeanza kufichuka.
Uchunguzi wa kitabibu umebaini kuwa, Mchungaji Mtikila alifariki dunia baada ya kuvunjika mbavu nane, huku damu nyingi ikivujia katika mfumo wa hewa, kitendo kilichosababisha ashindwe kupumua.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffari Ibrahim...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Sababu kifo cha Mtikila
9 years ago
Dewji Blog05 Oct
JK aomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na maombolezo kumlilia Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani), ambaye alipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea alfajiri ya leo, Jumapili, Oktoba 4, 2015, katika Kijiji cha Msolwa, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Chama cha DP, Rais Kikwete amesema: “ Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/b8YL1Nsfi8mNKMOI9wpBwpnMdC32qfWs4ggz7NZtaL8f4CCzVb0bSzg-hnRF1zNSvFc-UyCq0aDXUUljLysC33TS*XmKnakS/Mtikila.jpg?width=650)
MASWALI 10 TATA KIFO CHA MTIKILA!
9 years ago
Mtanzania07 Oct
DP yatilia shaka kifo cha Mtikila
NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Chama Cha Demokratic (DP), umesema una shaka na mazingira ya ajali iliyosababisha kifo cha mweyekiti wa chama hicho, Mchungaji Christopher Mtikila.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Mikocheni Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya alisema kuna mambo yanashitusha namna tukio zima lilivyotokea.
Alisema kuna picha zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii, zikionesha jinsi Mtikila alivyopata ajali.
“Tukio hili...
9 years ago
Vijimambo06 Oct
Polisi yaeleza sababu kifo cha Mtikila
![Mchungaji Christopher Mtikila](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2899050/highRes/1137706/-/maxw/600/-/ipk62u/-/Mtikilaa.jpg)
Mchungaji Mtikila alifariki dunia juzi alfajiri baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam, likiwa katika mwendo mkali, kuacha njia na kupinduka. Alirushwa nje kupitia kioo cha mbele kutokana na kutofunga mkanda.
Katika ajali...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Christopher-Mtikila.jpg)
TAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Kingunge kakurupuka, Polisi nao wamekurupuka kifo cha Mtikila
HATIMAYE tumebakiwa na takriban wiki mbili tu kabla ya Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika hapo Ok
Evarist Chahali
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Siri uteuzi wa Kingunge yafichuka
SIRI ya uteuzi wa mkongwe wa siasa nchini, Kingunge Ngomale-Mwiru, kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba imefichuka. Habari ambazo gazeti hili limezipata, zilisema kuwa uteuzi wa mkongwe huyo wa siasa...
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Siri yafichuka mauaji Z’bar