DP yatilia shaka kifo cha Mtikila
NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Chama Cha Demokratic (DP), umesema una shaka na mazingira ya ajali iliyosababisha kifo cha mweyekiti wa chama hicho, Mchungaji Christopher Mtikila.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Mikocheni Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya alisema kuna mambo yanashitusha namna tukio zima lilivyotokea.
Alisema kuna picha zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii, zikionesha jinsi Mtikila alivyopata ajali.
“Tukio hili...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 May
CPT yatilia shaka mchakato wa Katiba Mpya
5 years ago
Habarileo16 Feb
Kamati ya Bunge yatilia shaka ujenzi DIT
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imetoa agizo kwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi kufanya ukaguzi wa kina katika mradi wa ujenzi wa jengo la kufundishia la Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) na kujiridhisha kuhusu gharama na muda unaotumika katika mradi huo.
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Sababu kifo cha Mtikila
9 years ago
Dewji Blog05 Oct
JK aomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na maombolezo kumlilia Mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani), ambaye alipoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea alfajiri ya leo, Jumapili, Oktoba 4, 2015, katika Kijiji cha Msolwa, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Chama cha DP, Rais Kikwete amesema: “ Nimepokea kwa huzuni kubwa taarifa...
9 years ago
GPLMASWALI 10 TATA KIFO CHA MTIKILA!
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Siri kifo cha Mtikila yafichuka
NA GUSTAPHU HAULE, PWANI NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
SIRI ya kifo cha aliyekuwa mwanasiasa nguli na Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, imeanza kufichuka.
Uchunguzi wa kitabibu umebaini kuwa, Mchungaji Mtikila alifariki dunia baada ya kuvunjika mbavu nane, huku damu nyingi ikivujia katika mfumo wa hewa, kitendo kilichosababisha ashindwe kupumua.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jaffari Ibrahim...
9 years ago
Vijimambo06 Oct
Polisi yaeleza sababu kifo cha Mtikila
Mchungaji Mtikila alifariki dunia juzi alfajiri baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam, likiwa katika mwendo mkali, kuacha njia na kupinduka. Alirushwa nje kupitia kioo cha mbele kutokana na kutofunga mkanda.
Katika ajali...
9 years ago
GPLTAARIFA YA POLISI KUHUSU KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKILA
9 years ago
Habarileo07 Oct
DP watilia shaka ajali ya Mtikila
CHAMA cha Democtratic Party (DP) kimesema kimesikitishwa na mazingira yaliyosababisha kifo cha Mwenyekiti wa chama hicho, Mchungaji Chrisopher Mtikila. Taarifa ya chama hicho iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na Naibu Katibu Mkuu wa DP upande wa Tanganyika, Abdul Mluya ilidai kuwa kifo cha kiongozi huyo kinaonesha mazingira ya utata.