Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati ya Bunge yatilia shaka ujenzi DIT

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imetoa agizo kwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi kufanya ukaguzi wa kina katika mradi wa ujenzi wa jengo la kufundishia la Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) na kujiridhisha kuhusu gharama na muda unaotumika katika mradi huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

DP yatilia shaka kifo cha Mtikila

chrNA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

UONGOZI wa Chama Cha Demokratic (DP), umesema una shaka na mazingira ya ajali iliyosababisha kifo cha mweyekiti wa chama hicho, Mchungaji Christopher Mtikila.

Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Mikocheni Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya alisema kuna mambo yanashitusha namna tukio zima lilivyotokea.

Alisema kuna picha zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii, zikionesha jinsi Mtikila alivyopata ajali.

“Tukio hili...

 

11 years ago

Mwananchi

CPT yatilia shaka mchakato wa Katiba Mpya

Vyama vya siasa vyenye uwakilishi katika Bunge Maalumu la Katiba vimetakiwa kuwa na maridhiano ili mchakato wa Katiba Mpya uendelee mpaka wananchi wapate katiba wanayoihitaji.

 

10 years ago

StarTV

Kamati ya bunge maliasili, yaitupia lawama Wizara ya Ujenzi.

Na Immaculate Kilulya,

Dar Es Salaam.

 

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, imekataa kujadili Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya Wizara hiyo kukiuka makubaliano na kamati hiyo na kusababisha hasara kwa taifa baada ya kuziba mianya ya kuziingizia fedha hifadhi za taifa.

 

Miongoni mwa mianya hiyo ni pamoja na utaratibu wa kuingia kwenye hifadhi mara mbili uliosababisha hasara ya Shilingi bilioni 15 kwenye Hifadhi ya Ngorongoro, huku ucheleweshwaji wa tozo...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI

Kamati ya Miundombinu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema wiki hii ilikutana na Watendaji wa Wizara ya Ujenzi kwa ajili ya kupitia maepndekezo ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2014/15.   Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli awali kabla ya kuwasilisha mapendekezo hayo kwanza alianza kwa kutoa tarifa ya utekelezaji kwa mwaka wa fedha wa 2013/14 ambapo Wizara ya Ujenzi ilitengewa Shilingi 381,205,760,000.00 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida. Hadi...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YAUBEBA MRADI UJENZI MAKTABA YA CHUO CHA ARDHI TABORA


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akitolea ufafanuzi hoja zilizowasilishwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusiana na mradi wa ujenzi wa Maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora wakati kamati hiyo ilipokwenda kukagua maendeleo ya mradi huo mwishoni mwa wiki . Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati Kemilembe Lwota na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri.Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

5 years ago

Michuzi

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa yafanya ukaguzi na kuridhishwa na ujenzi wa hospitali halmashauri ya Mbulu


Muonekano wa baadhi ya majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Halmashauri ya Mbulu.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe Mwita Waitara akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji Hudson Kamoga.
Naibu Waziri Manejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Mary Mwanjelwa akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji Hudson Kamoga.
Mbunge wa Manyoni Mashariki Mhe Daniel Mtuka(aliyeshika simu), Mbunge wa jimbo la Kilolo Mhe Venance Mwamoto(wa tatu kutoka kushoto), Mbunge wa jimbo la Kyerwa Mhe Innocent...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA (NUU) YAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA CHA USEREMALA GEREZA MSALATO



Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani ya Nchi ndugu Christopher D. Kadio (wa nne toka kushoto ) akimkaribisha Mkuu wa Msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama,ambaye ni Mbunge wa Zanzibar Jimbo la Uzini ndugu Salum Rehani(wa nne toka kulia) walipowasili eneo la Mradi, Msalato. Wa tatu toka kushoto ni Kamishna Jenerali wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani