DP watilia shaka ajali ya Mtikila
CHAMA cha Democtratic Party (DP) kimesema kimesikitishwa na mazingira yaliyosababisha kifo cha Mwenyekiti wa chama hicho, Mchungaji Chrisopher Mtikila. Taarifa ya chama hicho iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na Naibu Katibu Mkuu wa DP upande wa Tanganyika, Abdul Mluya ilidai kuwa kifo cha kiongozi huyo kinaonesha mazingira ya utata.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Wanasiasa watilia shaka uandikishaji daftari la wapigakura
9 years ago
GPL25 Sep
9 years ago
Mtanzania07 Oct
DP yatilia shaka kifo cha Mtikila
NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Chama Cha Demokratic (DP), umesema una shaka na mazingira ya ajali iliyosababisha kifo cha mweyekiti wa chama hicho, Mchungaji Christopher Mtikila.
Akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwa marehemu Mikocheni Dar es Salaam jana, Naibu Katibu Mkuu wa DP, Abdul Mluya alisema kuna mambo yanashitusha namna tukio zima lilivyotokea.
Alisema kuna picha zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii, zikionesha jinsi Mtikila alivyopata ajali.
“Tukio hili...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AI-C-DD*hSfbRARP0hFO2zabHG8dWIyUMqfNsXWjIVEL5848gETJZI4HizvKb4lj8TFsciU3erE0KS-8Fue3peR3BdwDP8X8/Mtikila.jpg)
DP: MTIKILA ALIAWA KABLA YA AJALI
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Mchungaji Mtikila afariki kwa ajali ya gari Chalinze
9 years ago
Michuzi![](http://lh3.googleusercontent.com/-fnpv12H1L74/VhC2oSMu__I/AAAAAAACBTg/fuGVy5eo6Yg/s72-c/blogger-image--792387876.jpg)
STOP PRESS: Mchungaji Mtikila afariki katika ajali alfajiri leo
![](http://lh3.googleusercontent.com/-fnpv12H1L74/VhC2oSMu__I/AAAAAAACBTg/fuGVy5eo6Yg/s640/blogger-image--792387876.jpg)
Mwanasiasa maarufu nchini Tanzania mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia Majira ya saa 10 alfajiri akitokea mkoani kwake Njombe katika kampeni .
Taarifa zilizothibitishwa na mgombea Ubunge jimbo la Iringa Mjini na mwenyekiti wa DP Mkoa Robart Kisinini wakati akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.co.tz amesema ni kweli mwenyekiti wake huyo Taifa amefariki dunia Kamanda wa polisi mkoa wa pwani pia amethibitisha.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-wtqbwjzjcPE/VhC2lsO5YnI/AAAAAAABWdY/Xal8uymeNMQ/s72-c/ChristopherMtikila.jpg)
BREAKING NEWS: MCH. CHRISTOPHER MTIKILA AFARIKI KWA AJALI YA GARI MKOANI PWANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-wtqbwjzjcPE/VhC2lsO5YnI/AAAAAAABWdY/Xal8uymeNMQ/s640/ChristopherMtikila.jpg)
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAAARIFA ZAIDI
CHANZO: TBC TV
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Wambura shaka tupu
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Usajili Simba shaka