Wambura shaka tupu
Jinamizi la kuipeleka Simba mahakamani limeendelea kumtesa Michael Wambura kuwania urais ndani ya klabu hiyo, na sasa atakutana uso kwa uso na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Usajili Simba shaka
10 years ago
Mwananchi07 Dec
Deni la Taifa linapotiliwa shaka
10 years ago
BBCSwahili12 Aug
Uamuzi wa Uturuki watiliwa shaka na US
10 years ago
Habarileo31 Jan
Shaka zatawala muswada wa maadili
BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamegawanyika kuhusu muswada wa kuweka maadili ya viongozi wa umma ambapo wamekuwa na wasiwasi kama muswada huo unaweza kufanya kazi zake vizuri na kuwatia hatiani wahusika kwa sababu unawahusu moja kwa moja viongozi wa ngazi za juu serikalini.
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Jaja, Coutinho viwango shaka
9 years ago
Habarileo07 Oct
DP watilia shaka ajali ya Mtikila
CHAMA cha Democtratic Party (DP) kimesema kimesikitishwa na mazingira yaliyosababisha kifo cha Mwenyekiti wa chama hicho, Mchungaji Chrisopher Mtikila. Taarifa ya chama hicho iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na Naibu Katibu Mkuu wa DP upande wa Tanganyika, Abdul Mluya ilidai kuwa kifo cha kiongozi huyo kinaonesha mazingira ya utata.
11 years ago
Mwananchi07 Dec
Kipa Berko awatoa shaka Simba
9 years ago
Habarileo06 Oct
Magufuli: Uadilifu wangu hauna shaka
MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema uadilifu wake ni wa kuaminika na ameamua kujitoa sadaka kwa ajili ya kutumikia Watanzania katika uhai wake. Akihutubia mkutano wa kampeni mjini Katesh wilayani Babati mkoani Manyara, jana, Magufuli alisema anachotaka ni kufanya kazi na si siasa.
10 years ago
GPLSHILOLE, NINA SHAKA NA UANAMKE WAKO!