Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasiasa watilia shaka uandikishaji daftari la wapigakura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza muda rasmi wa kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa daftari la wapigakura, ambapo imesema kazi hiyo itakayofanyika kwa muda wa wiki mbili, itaanza mwezi Septemba mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

NEC, wanasiasa kujadili daftari la wapigakura

 James Mbatia WAKATI Uandikishaji katika daftari la Kudumu la Wapiga Kura, unatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu ya wiki ijayo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo inakutana na Vyama vya siasa kujadili mchakato huo.

 

9 years ago

Habarileo

DP watilia shaka ajali ya Mtikila

CHAMA cha Democtratic Party (DP) kimesema kimesikitishwa na mazingira yaliyosababisha kifo cha Mwenyekiti wa chama hicho, Mchungaji Chrisopher Mtikila. Taarifa ya chama hicho iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na Naibu Katibu Mkuu wa DP upande wa Tanganyika, Abdul Mluya ilidai kuwa kifo cha kiongozi huyo kinaonesha mazingira ya utata.

 

10 years ago

Mwananchi

Uandikishaji wapigakura shakani kufanyika

 Zikiwa zimesalia siku 11 kabla ya kuanza kwa uboreshaji wa Daftari la Wapigakura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema bado inasubiri kuwasili kwa vifaa vya teknolojia itakayotumika kwenye mchakato huo, huku taasisi za wanaharakati wa Zanzibar zikisema Kura ya Maoni ni batili kutokana na kukiuka sheria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zoezi la Uandikishaji wapigakura, Dsm.

Zoezi la Uandikishaji kwenye daftari la Kudumu la Wapiga kura nchini Tanzania, bado linasuasua kutokana na kasoro zilizojitokeza.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yaahirisha uandikishaji wapigakura Dar

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha kwa muda uandikishaji wa wapigakura katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani hadi hapo itakapotangazwa.

 

10 years ago

Habarileo

Kura za maoni zapisha uandikishaji wapigakura

 Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim LipumbaMWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema kwa sasa suala la kura ya maoni limesitishwa kwa muda hadi pale tume hiyo itakapokamilisha uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu la wapigakura.

 

11 years ago

Mwananchi

Daftari la Wapigakura kuboreshwa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imesema Daftari la Kudumu la Wapigakura, litafanyiwa marekebisho kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya, ili kuwawezesha vijana waliotimiza umri wa miaka 18, ambao hawakujiandikisha, kupata fursa ya kupigakura.

 

11 years ago

Mwananchi

Nec: Daftari la wapigakura litaboreshwa

Pamoja na kushindwa kutaja tarehe rasmi ya kuanza kuboresha daftari la kudumu la wapigakura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema daftari hilo litaboreshwa kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani