Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uandikishaji wapigakura shakani kufanyika

 Zikiwa zimesalia siku 11 kabla ya kuanza kwa uboreshaji wa Daftari la Wapigakura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema bado inasubiri kuwasili kwa vifaa vya teknolojia itakayotumika kwenye mchakato huo, huku taasisi za wanaharakati wa Zanzibar zikisema Kura ya Maoni ni batili kutokana na kukiuka sheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Zoezi la Uandikishaji wapigakura, Dsm.

Zoezi la Uandikishaji kwenye daftari la Kudumu la Wapiga kura nchini Tanzania, bado linasuasua kutokana na kasoro zilizojitokeza.

 

10 years ago

Habarileo

Kura za maoni zapisha uandikishaji wapigakura

 Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim LipumbaMWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema kwa sasa suala la kura ya maoni limesitishwa kwa muda hadi pale tume hiyo itakapokamilisha uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu la wapigakura.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yaahirisha uandikishaji wapigakura Dar

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha kwa muda uandikishaji wa wapigakura katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani hadi hapo itakapotangazwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasiasa watilia shaka uandikishaji daftari la wapigakura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza muda rasmi wa kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa daftari la wapigakura, ambapo imesema kazi hiyo itakayofanyika kwa muda wa wiki mbili, itaanza mwezi Septemba mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya shakani

WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likitarajia kuanza vikao vyake keshokutwa mjini Dodoma, upatikanaji wa katiba mpya upo shakani, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa. Wasiwasi wa upatikanaji wa katiba mpya unatokana na...

 

10 years ago

Mtanzania

Kibarua cha Nooij shakani

ABDUCADO EMMANUEL NA MWALI IBRAHIM, DAR

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Mart Nooij raia wa Uholanzi, yupo shakani kuendelea kukinoa kikosi hicho kutokana na matokeo mabaya aliyopata kwenye michuano ya Kombe la Cosafa.

Stars imeambulia vipigo kwenye mechi mbili za awali za Kundi B la michuano hiyo na timu ndogo Swaziland (1-0) na Madagascar (2-0), leo itamalizia ratiba kwa kuchuana na Lesotho iliyoko juu yake.

Habari za ndani zilizoifikia MTANZANIA jana zimeeleza kuwa,...

 

11 years ago

Mwananchi

Suarez shakani Kombe la Dunia

>Luis Suarez huenda akakosa fainali za Kombe la Dunia baada ya kubainika kuwa anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa goti haraka kutokana na kuumia mazoezini juzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sendeka: Katiba mpya shakani

MJUMBE wa Bunge Malalumu la Katiba, Christopher ole Sendeka, ameonyesha wasiwasi wake wa kutopatikana kwa Katiba mpya kutokana na sheria ya Mabadiliko ya Katiba Ibara ya 26(2) kukosa mbadala. Mjumbe...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndoa ya Obama, Michelle shakani

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa vyanzo vya ndani vya Ikulu ya Marekani, wenza hao wamekuwa katika migogoro na Obama alilazimika kusherehekea sherehe za mwaka mpya mjini Hawaii akiwa na binti zake wawili, Sasha na Malia bila kuwepo Michelle.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani