Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kibarua cha Nooij shakani

ABDUCADO EMMANUEL NA MWALI IBRAHIM, DAR

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Mart Nooij raia wa Uholanzi, yupo shakani kuendelea kukinoa kikosi hicho kutokana na matokeo mabaya aliyopata kwenye michuano ya Kombe la Cosafa.

Stars imeambulia vipigo kwenye mechi mbili za awali za Kundi B la michuano hiyo na timu ndogo Swaziland (1-0) na Madagascar (2-0), leo itamalizia ratiba kwa kuchuana na Lesotho iliyoko juu yake.

Habari za ndani zilizoifikia MTANZANIA jana zimeeleza kuwa,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kikosi cha kwanza Simba shakani

Ni wazi kuwa kocha mkuu wa Simba, Dyran Kerr na benchi lake la ufundi wameshapata kikosi chao cha kwanza kwa ajili ya Ligi Kuu, lakini wana kazi ya ziada kuelekeza mfumo wa 4-4-2 ambao umeonekana kutoeleweka vizuri hadi sasa kwa wachezaji wake.

 

9 years ago

Mwananchi

Julio ashika kibarua cha Kerr

Kibarua cha kocha wa Simba, Dylan Kerr kimewekwa kwenye mchezo wa Jumamosi baina yao na Mwadui ya Shinyanga iliyo chini ya beki wa zamani wa klabu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kibarua cha mama kumpa mwanawe 'Bangi'

Mama wa kijana anayeugua kifafa amekataa kumpa mwanawe wa kiume bangi kama matibabu inavyotakikana-kupitia moshi na mvuke.

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua cha Makata, Kagera kwisha kazi

Vuguvugu la kutimua makocha limeendelea katika Ligi Kuu  Bara baada ya Kagera Sugar kumtimua kocha wake Mbwana Makata kutokana na timu hiyo kuendelea kufanya vibaya.

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua cha kuboresha elimu kwa Serikali ya Dk Magufuli

Kesho kutwa,  Dk John Magufuli ataapishwa kuwa  Rais wa awamu ya tano, akiwa amebeba ahadi nyingi kwa Watanzania ikiwamo ile ya Serikali yake kutoa elimu bure kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne.

 

9 years ago

Mwananchi

Profesa Ndalichako ana kibarua cha kuiokoa elimu nchini

Siku chache zilizopita, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta) Profesa Joyce Ndalichako, alikula kiapo cha kuongoza Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, ikiwa ni mwaka mmoja tangu alipoondoka kwa utata katika sekta ya elimu.

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua kizito cha kukuza uchumi kwa Rais ajaye

Mengi yamezungumzwa juu ya hali ya uchumi wa Tanzania na mustakabali wake wakati huu wa kampeni.

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA MAGONGO YA TANZANIA KUANZA KIBARUA CHA KWANZA KESHO NA ZIMBAMBWE

TIMU ya taifa ya mpira wa magongo ya wanawake kesho inacheza mechi yake ya kwanza ya ufunguzi dhidi ya zimbambwe itakayopigwa nchini Afrika kusini,katika mashindano kuwania kufuzu michuano ya Olympic ya mwaka 2016 ambayo itafanyika mjini Rio de Janeiro, nchini Brazil.
Kocha wa timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa Magongo  Varentina Quaranta amesema kwa upande wa wanaume mechi yao ya ufunguzi watacheza na misri siku ya jumapili. 
Kocha Quaranta ambaye yuko na timu nchini afrika kusini amesema...

 

10 years ago

Michuzi

KOCHA NOOIJ KUTAJA KIKOSI CHA STARS NOVEMBA 4

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij keshokutwa (Novemba 5 mwaka huu) atatangaza kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya mechi ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) itakayochezwa ugenini Novemba 16 mwaka huu.
Nooij atatangaza kikosi hicho mbele ya waandishi wa habari katika mkutano utakaofanyika saa 4.30 asubuhi kwenye ofisi za TFF zilizoko ghorofa ya tatu, Jengo la PPF Tower jijini Dar es Salaam.
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itacheza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani