Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kibarua cha kuboresha elimu kwa Serikali ya Dk Magufuli

Kesho kutwa,  Dk John Magufuli ataapishwa kuwa  Rais wa awamu ya tano, akiwa amebeba ahadi nyingi kwa Watanzania ikiwamo ile ya Serikali yake kutoa elimu bure kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Profesa Ndalichako ana kibarua cha kuiokoa elimu nchini

Siku chache zilizopita, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta) Profesa Joyce Ndalichako, alikula kiapo cha kuongoza Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, ikiwa ni mwaka mmoja tangu alipoondoka kwa utata katika sekta ya elimu.

 

10 years ago

Habarileo

Bilal: Serikali itaendelea kuboresha elimu nchini

Makamu wa Rais, Dk Ghalib BilalSERIKALI imesema kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu, itaendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia ili kutoa elimu bora na inayowatayarisha watanzania kujiajiri na kuajiriwa katika sekta ya umma na sekta binafsi.

 

9 years ago

Dewji Blog

TIA kuboresha kampasi zake kiwango cha elimu kuvutia wanafunzi wa nchi jirani

DSCN5429

Brasi bendi kutoka jeshi la kujenga taifa Makutupora mkoani Dodoma, likiongoza maandamano ya wahitimu wa fani mbalimbali ikiwemo ya uhasibu katika mahafali ya 13 yaliyofanyika mjini Singida.

DSCN5438

Baadhi ya wahitimu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kutoka mkoa wa Singida, Kigoma na Mwanza, wakiandamana ikiwa ni sehemu ya mahafali ya 13 na ya nne kwa mkoa wa Singida, yaliyofanyika mjini hapa. DSCN5458 Meneja wa taasisi ya uhasibu Tanzania mkoa wa Singida, Emmanuel Kingu, akitoa nasaha zake kwenye...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema malengo ya Serikali ni kukifanya kilimo cha umwagiliaji kuleta mapinduzi ya kijani.

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua kizito cha kukuza uchumi kwa Rais ajaye

Mengi yamezungumzwa juu ya hali ya uchumi wa Tanzania na mustakabali wake wakati huu wa kampeni.

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli Agawa Usafiri kwa Maafisa Tarafa Rukwa Huku Wakikisitizwa kutimiza Majukumu ya Serikali Hasa Kutoa Elimu ya Corona

Maafisa tarafa za Tarafa 12 za mkoa wa Ruk2wa wakiwa kila mmoja amesimama nyuma ya Pikipiki tayari kwa kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kwa niaba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Afisa Tarafa wa Tarafa ya Namanyere Wilayani Nkasi Kasim Ibrahim akitia saini hati ya Makabidhiano mbele ya Mkuu wa mkoa wa Rukwa pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa ili kukabidhiwa Pikipiki aliyoahidiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.



Katibu Tawala wa MKoa wa Rukwa Benard Makali akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI


RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.

Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani