Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Ndalichako ana kibarua cha kuiokoa elimu nchini

Siku chache zilizopita, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta) Profesa Joyce Ndalichako, alikula kiapo cha kuongoza Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, ikiwa ni mwaka mmoja tangu alipoondoka kwa utata katika sekta ya elimu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOGIA NA UFUNDI PROFESA. JOYCE NDALICHAKO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NACTE

 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako, akitembezwa katika maeneo ya ofisi za Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) jijini Dar es salaam jana na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk.Primus Nkwera. Waziri huyo alikuwa katika ziara ya kutembelea taasisi za elimu zilizochini ya wizara yake. Na Mpigapicha wetu. Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto), akisisitiza jambo, alipokuwa akizungumza na wafanykazi wa Baraza...

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua cha kuboresha elimu kwa Serikali ya Dk Magufuli

Kesho kutwa,  Dk John Magufuli ataapishwa kuwa  Rais wa awamu ya tano, akiwa amebeba ahadi nyingi kwa Watanzania ikiwamo ile ya Serikali yake kutoa elimu bure kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne.

 

9 years ago

Habarileo

Ndalichako sasa ni Profesa

WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, imefafanua kuwa sifa ya kitaaluma ya waziri wa wizara hiyo ni Profesa Joyce Ndalichako; na siyo Dk Joyce Ndalichako.

 

10 years ago

Mtanzania

JK: Rais ajaye ana kibarua kigumu

jkNa Mwandishi Wetu,
RAIS Jakaya Kikwete amesema rais ajaye atakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania inaendelea kubaki kuwa moja kwa kudumisha umoja huo unaotokana na muungano wa nchi mbili.
Kikwete alitoa kauli hiyo siku chache baada ya makada wa chama hicho kuanza kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Hadi sasa waliochukua fomu ni mawaziri wakuu wa zamani, Frederick Sumaye na Edward Lowassa, Makamu wa Rais,...

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu asema JPM ana kibarua kigumu

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM), Jesse Angowi amesema Rais John Magufuli ana kibarua kigumu cha kurudisha nidhamu ya kazi na uadilifu kwa watumishi wa umma.

 

5 years ago

Michuzi

LEO SITALALA HADI RATIBA ZA MITIHANI YOTE IKAMILIKE -PROFESA NDALICHAKO

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVWAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa  Joyce Ndalichako amesema baada ya Rais Dk.John Magufuli kutangaza kufunguliwa kwa shule zote Juni 29,2020, yeye leo hii hatalala kuhakikisha anapanga ratiba yote ya mitihani ya darasa la nne, darasa la saba na kidato cha nne.
Ametumia pia nafasi hiyo kueleza kuwa kwa sasa hali ni shwari na uamuzi wa shule kufunguliwa Juni 2020 umemfurahisha hivyo wanafunzi wajiandae na mchakamchaka wa masomo utakaoanza...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Lungu ana ‘kibarua’ kutimiza ahadi lukuki alizotoa kwa Wazambia

Katika uchaguzi huo uliokuwa na ushindani mkali kutoka kwa mgombea wa chama cha upinzani, Hakainde Hichilema, Lungu aliapishwa huku wapinzani wakiamini kuna mchezo mchafu ulichezwa ili kumwingiza Ikulu, kwa kuwa aliwahi kufanya kazi kwa karibu na Rais Michael Satta.

 

9 years ago

Mwananchi

MAKALA: Dk Ndalichako ni mtu sahihi Wizara ya Elimu

Mipango mingi imepangwa, ukiwamo ule wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) lengo likiwa ni kuhakikisha nchi inapata mafanikio katika sekta mbalimbali.

 

9 years ago

Mwananchi

Ndalichako azibana Nacte, TET kuhusu ubora wa elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametoa siku 30 kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte), Dk Primus Nkwera kufanya ukaguzi wa vyuo vyote na kumkabidhi ripoti ili kujiridhisha na ubora wa elimu inayotolewa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani