Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOGIA NA UFUNDI PROFESA. JOYCE NDALICHAKO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NACTE

 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako, akitembezwa katika maeneo ya ofisi za Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) jijini Dar es salaam jana na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk.Primus Nkwera. Waziri huyo alikuwa katika ziara ya kutembelea taasisi za elimu zilizochini ya wizara yake. Na Mpigapicha wetu. Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto), akisisitiza jambo, alipokuwa akizungumza na wafanykazi wa Baraza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Afya atembelea Makao Makuu ya NHIF

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Kebwe S. Kebwe akizungumza na Menejimenti ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya alipotembelea Makao Makuu ya Mfuko huo. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Balozi Ali Muchumo akitoa salaam za Bodi kwa Naibu Waziri. Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Hamis Mdee akitoa maelezo ya awali na Taarifa ya utekelezaji ya Mfyuko. Sehemu ya Mameneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakifuatilia taarifa ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MUHONGO atembelea makao makuu ya kampuni ya General Electric ya Marekani

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akipokea maelezo ya kitaalam alipotembelea Makao Makuu ya Kampuni ya General Electric (GE)  ya nchini Marekani  inayojishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa vifaa vya kufua umeme. Moja ya bidhaa zao ni mitambo ya kufua umeme itakayotumika katika mradi wa  kufua umeme wa Kinyerezi  I wa kiasi cha megawati 150.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NIDA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akiwasili Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Kinondoni jijini Dar es Salaam na kupokewa na Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dickson Maimu (kushoto). Waziri Kitwanga alifanya ziara ya kikazi katika ofisi hizo kwa lengo la kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na mamlaka hiyo. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kulia) akimkaribisha Ofsini kwake Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha - Rose Migiro alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo februari 17, 2015, Jijini Dar es Salaam.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akiendelea na mazungumzo na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha - Rose Migiro(hayupo pichani) alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MH. SELEMANI JAFO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF DODOMA

 Naibu waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani  Jafo akipata maelezo kutoka kwa kaimu meneja mafao wa LAPF Bw. Amani Sindato akionyeshwa mafaili ya wanachama wanaostaafu mwezi januari 2016 lakini wameshaandaliwa mafao yao. Naibu waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani  Jafo  akionyeshwa orodha ya wanachama wanaotarajia kustaafu miezi sita ijayo na Afisa mafao mwandamizi Bw. Franklin Boga. LAPF huwatambua wanachama hao mapema ili...

 

9 years ago

Mwananchi

Ndalichako azibana Nacte, TET kuhusu ubora wa elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametoa siku 30 kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte), Dk Primus Nkwera kufanya ukaguzi wa vyuo vyote na kumkabidhi ripoti ili kujiridhisha na ubora wa elimu inayotolewa.

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI Mhe. JENISTA MHAGAMA ATEMBELEA BODI YA MIKOPO

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Jenista Mhagama (MB) akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. George R.W. Nyatega (kushoto)) katika Ofisi za Bodi hiyo zilizoko Mwenge,  Dar Es Salaam.

 Mh.Naibu Waziri akipeana mkono na baadhi ya wawakilishi wa Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu.



Naibu Waziri Mhe. Jenista Mhagama (kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya...

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM : Stella Manyanya– Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

Stella Manyanya (Mhandisi) ndiye Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani