Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndalichako azibana Nacte, TET kuhusu ubora wa elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametoa siku 30 kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte), Dk Primus Nkwera kufanya ukaguzi wa vyuo vyote na kumkabidhi ripoti ili kujiridhisha na ubora wa elimu inayotolewa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOGIA NA UFUNDI PROFESA. JOYCE NDALICHAKO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NACTE

 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako, akitembezwa katika maeneo ya ofisi za Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) jijini Dar es salaam jana na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk.Primus Nkwera. Waziri huyo alikuwa katika ziara ya kutembelea taasisi za elimu zilizochini ya wizara yake. Na Mpigapicha wetu. Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto), akisisitiza jambo, alipokuwa akizungumza na wafanykazi wa Baraza...

 

9 years ago

Vijimambo

TEA YAIPA TET MKOPO WA SHILINGI BILIONI TATU KUANDAA MITAALA NA KUCHAPISHA VITABU VYA ELIMU YA MSINGI

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Sifuni Mchome (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na Mamlaka ya Elimu (TEA) zilipotialiana saini mkataba wa makubaliano ambapo TEA itaipatia TET Mkopo wa Sh Bilioni 3 kwaajili ya kuandaa mitaala na kuchapisha vitabu vitakavyotumiwa na wanafunzi shule za msingi nchini kuanzia darasa la tatu hadi la sita. Prof Mchome, amewataka TET kuhakikisha wanakamilisha kazi hiyo kwa weledi ili kuweza...

 

9 years ago

Mwananchi

MAKALA: Dk Ndalichako ni mtu sahihi Wizara ya Elimu

Mipango mingi imepangwa, ukiwamo ule wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) lengo likiwa ni kuhakikisha nchi inapata mafanikio katika sekta mbalimbali.

 

9 years ago

Mwananchi

Profesa Ndalichako ana kibarua cha kuiokoa elimu nchini

Siku chache zilizopita, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta) Profesa Joyce Ndalichako, alikula kiapo cha kuongoza Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, ikiwa ni mwaka mmoja tangu alipoondoka kwa utata katika sekta ya elimu.

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA ELIMU PROF. NDALICHAKO ATANGAZA RATIBA ZA MITIHANI NA MASOMO

Kutokana na Rais Dk John Magufuli jana kutangaza kufungua Shule zote ifikapo Juni 29, leo Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametangaza ratiba ya masomo na mitihani kwa ajili ya kukamilisha mwaka wa masomo.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri Ndalichako amesema muhula wa kwanza wa masomo utamalizika Agosti 28 mwaka huu na kuanza kwa muhula mpya utakaoishia Desemba 18 mwaka huu.
Prof Ndalichako amesema ili kukamilisha muhtasari wa masomo shule...

 

5 years ago

Michuzi

PROF NDALICHAKO AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA VIZURI FEDHA ZA MIRADI YA ELIMU


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ametoa rai kwa watendaji wa Taasisi zilizo chini ya wizara yake kusimamia vizuri fedha za  miradi ya Elimu inayotelekezwa katika maeneo yao ili  ikamilike kwa wakati na ubora.

Waziri Ndalichako ametoa rai hiyo Jijini Dar es Salaam wakati akizinduzia Jengo la Utawala la Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) lililokarabatiwa na kuongeza ukubwa ambapo amesema Serikali imekuwa ikitoa fedha nyingi za miradi lakini haikamiliki...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI(NACTE)LINAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA UALIMU 2015/2016

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Makao makuu ya ofisi hizo  Mikocheni B jijini Dar es Salaam, Wakati akiutangazia Umma juu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa vijana waliomaliza kidato cha Nne  Oktoba 2014. na wengine wenye sifa mbalimbali  kama zinavyopatikana kwenye  tovuti ya baraza hilo:www.necte.go.tz.Waombaji  watakao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linakaribisha maombi ya kujiunga na ualimu 2015/2016

002

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Makao makuu ya ofisi hizo  Mikocheni B jijini Dar es Salaam, Wakati akiutangazia Umma juu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa vijana waliomaliza kidato cha Nne  Oktoba 2014. na wengine wenye sifa mbalimbali  kama zinavyopatikana kwenye  tovuti ya baraza hilo:www.necte.go.tz.Waombaji  watakao...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kawambwa azindua jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati)akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa (NACTE) Dkt. Primus Nkwela,Kamishina wa Elimu Profesa Uestella Bhalalusesa,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara wa wizara hiyo Consolata Mgimba na Mwenyekiti wa barabaza la Taifa la Elimu ya Ufundi Mhandisi Steven Mlote.Hafla hiyo ya Uzinduzi ilifanyika katika makao makuu ya ofisi hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani