Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKALA: Dk Ndalichako ni mtu sahihi Wizara ya Elimu

Mipango mingi imepangwa, ukiwamo ule wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) lengo likiwa ni kuhakikisha nchi inapata mafanikio katika sekta mbalimbali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ndalichako azibana Nacte, TET kuhusu ubora wa elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametoa siku 30 kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte), Dk Primus Nkwera kufanya ukaguzi wa vyuo vyote na kumkabidhi ripoti ili kujiridhisha na ubora wa elimu inayotolewa.

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA ELIMU PROF. NDALICHAKO ATANGAZA RATIBA ZA MITIHANI NA MASOMO

Kutokana na Rais Dk John Magufuli jana kutangaza kufungua Shule zote ifikapo Juni 29, leo Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametangaza ratiba ya masomo na mitihani kwa ajili ya kukamilisha mwaka wa masomo.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri Ndalichako amesema muhula wa kwanza wa masomo utamalizika Agosti 28 mwaka huu na kuanza kwa muhula mpya utakaoishia Desemba 18 mwaka huu.
Prof Ndalichako amesema ili kukamilisha muhtasari wa masomo shule...

 

9 years ago

Mwananchi

Profesa Ndalichako ana kibarua cha kuiokoa elimu nchini

Siku chache zilizopita, aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta) Profesa Joyce Ndalichako, alikula kiapo cha kuongoza Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, ikiwa ni mwaka mmoja tangu alipoondoka kwa utata katika sekta ya elimu.

 

5 years ago

Michuzi

PROF NDALICHAKO AWATAKA WATENDAJI KUSIMAMIA VIZURI FEDHA ZA MIRADI YA ELIMU


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ametoa rai kwa watendaji wa Taasisi zilizo chini ya wizara yake kusimamia vizuri fedha za  miradi ya Elimu inayotelekezwa katika maeneo yao ili  ikamilike kwa wakati na ubora.

Waziri Ndalichako ametoa rai hiyo Jijini Dar es Salaam wakati akizinduzia Jengo la Utawala la Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) lililokarabatiwa na kuongeza ukubwa ambapo amesema Serikali imekuwa ikitoa fedha nyingi za miradi lakini haikamiliki...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOGIA NA UFUNDI PROFESA. JOYCE NDALICHAKO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NACTE

 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako, akitembezwa katika maeneo ya ofisi za Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) jijini Dar es salaam jana na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk.Primus Nkwera. Waziri huyo alikuwa katika ziara ya kutembelea taasisi za elimu zilizochini ya wizara yake. Na Mpigapicha wetu. Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto), akisisitiza jambo, alipokuwa akizungumza na wafanykazi wa Baraza...

 

10 years ago

Mwananchi

Haikuwa sahihi kumwondoa Dk Mwakyembe Wizara ya Uchukuzi

Machi, 2014 Dk Harrison Mwakyembe, mwandishi wa habari kitaaluma aliingia katika historia ya aina yake, kwa kushiriki kuunga mkono hoja ya kuzuia wanahabari wenzake kuingia na kuandika habari ndani ya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA; NI KOSA ASKARI KUONDOKA NA MTU MWINGINE BAADA YA KUMKOSA MTUHUMIWA NYUMBANI.

             Na  Bashir  Yakub.
Malalamiko  ya raia  dhidi  ya  jeshi  la  polisi  hayataishi  kama  polisi  wenyewe hawatajirekebisha.  Na ieleweke kuwa  si  kweli  kwamba wanaolalamika  ni  wajinga  au hawana sababu  za  msingi.  Mara  zote  ukiangalia  malalamiko  ya  raia huwa  ni  ya  msingi  na  mzizi  wake ni  mmoja  tu.  Ni  utamaduni  wa  askari  wetu  kutopenda  kutenda  hatua  kwa  hatua  kama sheria  inavyoagiza. Sheria  imetoa  maelezo  mazuri  tu  ya namna  ya  kuyaendea  mambo....

 

11 years ago

Mwananchi

Watakombolewa na elimu sahihi siyo siasa

Ulimwengu mzima unatambua kwamba hakuna nchi iliyowahi kuendelea bila wananchi wake kuwa na elimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakombolewa na elimu sahihi sio siasa

Watakombolewa na Ulimwengu mzima unatambua kwamba hakuna nchi iliyowahi kuendelea bila wananchi wake kuwa na elimu. Maendeleo yote yametokana na elimu sahihi iliyojaa maarifa, ubunifu, uwezo mkubwa wa kufikiri na kuvumbua dhana mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani