Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakombolewa na elimu sahihi siyo siasa

Ulimwengu mzima unatambua kwamba hakuna nchi iliyowahi kuendelea bila wananchi wake kuwa na elimu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watakombolewa na elimu sahihi sio siasa

Watakombolewa na Ulimwengu mzima unatambua kwamba hakuna nchi iliyowahi kuendelea bila wananchi wake kuwa na elimu. Maendeleo yote yametokana na elimu sahihi iliyojaa maarifa, ubunifu, uwezo mkubwa wa kufikiri na kuvumbua dhana mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Ongezeko la picha za watoto mitandaoni siyo sahihi

Maendeleo ni matokeo ya jitihada na nguvu zilizotumika katika kuwekeza. Taifa haliwezi kupata maendeleo ya kweli mpaka pale thamani ya watoto wake inapowekwa wazi kwa kila raia. Mtoto ni rasilimali ambayo ikiandaliwa vyema taifa linaweza kufikia maendeleo na kuondokana na umasikini.

 

9 years ago

GPL

VURUGU KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI HII SIYO SIASA

Na Igenga Mtatiro, Tarime Hii siyo siasa! Ndivyo walivyokuwa wakisema watu wengi mjini hapa baada ya hivi karibuni kushuhudia mtu mmoja, Mwita Bhoke Watei (37), mkazi wa Kijiji cha Nyandage, Kata ya Nyanungu, Tarime mkoani hapa, akiuawa kwa kukatwa mapanga katika vurugu za kampeni za uchaguzi zinazoendelea nchini kote kwa sasa......Soma zaidi===>http://bit.ly/1J9g6dp ...

 

11 years ago

GPL

ELIMU, MAFANIKIO KIKWAZO KUPATA MKE SAHIHI -2

BILA shaka wapenzi wasomaji wangu mtakuwa wazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku kama kawaida. Kama una mushkeli kidogo, usijali, mambo yatakuwa sawa. Rafiki zangu, naandika mada hii nikiwa hapa Singida. Bado tunaendelea na somo letu ambalo lazima nikiri kuwa lina changamoto nyingi sana katika kuelewa. Ndugu zangu, najua ni somo gumu kidogo kueleweka lakini tutaenda sawa. Subiri hapohapo. Wiki iliyopita...

 

9 years ago

StarTV

Madiwani watakiwa kupata elimu sahihi ya utendaji

Mkuu wa Wilaya ya Geita Manzie Mangochie ametaka madiwani kupewa elimu sahihi juu ya mamlaka yao kiutendaji kwa lengo la kufahamu nafasi hiyo hatua itakayowawezesha kuwatumikia wananchi kwa mujibu wa taratibu na sheria zilizopo.

Akizungumza wakati wa kukabidhi vyeti kwa madiwani 37 wa jimbo la Geita na Busanda amesema mara kadhaa kumekuwa na muingiliano wa majukumu baina ya watendaji na madiwani hatua inayoleta mkwaruzano unaoathiri shughuli za kimaendeleo hivyo ni vyema wakapewa elimu hiyo...

 

11 years ago

GPL

ELIMU SAHIHI YA KUTIBU GONJWA LINALOITWA WIVU

Tumetoka kwenye msimu wa Valentine’s Day, hiki ni kipindi ambacho kila mmoja anawajibika kuuboresha uhusiano wake. Hata hivyo, ni vizuri kutosahau kuwa wivu ni changamoto nzito ambayo imesababisha uhusiano wa watu wengi kulegea. Wivu ni chachandu, vilevile ni kionjo cha mapenzi. Wakati mwingine ni sumu ya uhusiano, hali kadhalika hutokea kuwa kikwazo cha penzi endelevu. Ni vizuri kulitambua hilo ili ujue jinsi ya kuishi...

 

9 years ago

Mwananchi

MAKALA: Dk Ndalichako ni mtu sahihi Wizara ya Elimu

Mipango mingi imepangwa, ukiwamo ule wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) lengo likiwa ni kuhakikisha nchi inapata mafanikio katika sekta mbalimbali.

 

11 years ago

GPL

ELIMU SAHIHI YA KUTIBU GONJWA LINALOITWA WIVU 5

Wakati naanza makala haya, nilieleza kuwa wivu ni chachandu, vilevile ni kionjo cha mapenzi. Wakati mwingine ni sumu ya uhusiano, hali kadhalika hutokea kuwa kikwazo cha penzi endelevu. Ni vizuri kulitambua hilo ili ujue jinsi ya kuishi kwa kuendana na mazingira yanayofaa. Mtu mwenye mafanikio kwenye mapenzi ni yule anayeamini katika saikolojia ya kujitambua. Hapa nikupe msisitizo kuwa ni lazima ujitambue ili uweze kuwa bora...

 

11 years ago

GPL

KIAMA CHA ELIMU SAHIHI YA KUTIBU GONJWA LINALOITWA WIVU-3

Kwa kuendelea na mada yetu, nianze na swali: Una wasiwasi na mahali ambako mwenzi wako yupo? Huna amani na unahisi anakusaliti. Moyo wako umefunikwa na jakamoyo na kila hatua mapigo yanaongezeka kasi au yanashuka. Kimsingi huna sababu ya kuwa hivyo. Usiishi kwa dhana, ila simamia vitu vinavyoonekana. Mawasiliano ni njia bora kabisa ya kudhibiti wivu. Mnapozungumza mara kwa mara au ‘kuchati’ kwa SMS, Facebook au...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani