Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani watakiwa kupata elimu sahihi ya utendaji

Mkuu wa Wilaya ya Geita Manzie Mangochie ametaka madiwani kupewa elimu sahihi juu ya mamlaka yao kiutendaji kwa lengo la kufahamu nafasi hiyo hatua itakayowawezesha kuwatumikia wananchi kwa mujibu wa taratibu na sheria zilizopo.

Akizungumza wakati wa kukabidhi vyeti kwa madiwani 37 wa jimbo la Geita na Busanda amesema mara kadhaa kumekuwa na muingiliano wa majukumu baina ya watendaji na madiwani hatua inayoleta mkwaruzano unaoathiri shughuli za kimaendeleo hivyo ni vyema wakapewa elimu hiyo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ELIMU, MAFANIKIO KIKWAZO KUPATA MKE SAHIHI -2

BILA shaka wapenzi wasomaji wangu mtakuwa wazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku kama kawaida. Kama una mushkeli kidogo, usijali, mambo yatakuwa sawa. Rafiki zangu, naandika mada hii nikiwa hapa Singida. Bado tunaendelea na somo letu ambalo lazima nikiri kuwa lina changamoto nyingi sana katika kuelewa. Ndugu zangu, najua ni somo gumu kidogo kueleweka lakini tutaenda sawa. Subiri hapohapo. Wiki iliyopita...

 

10 years ago

Michuzi

MADIWANI ULANGA WAPONGEZWA KWA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA MAPATO.

  Habari na picha na John NditiMKUU wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, Julai 6, 2015, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Ulanga, ambapo moja ya jukumu kubwa lilikuwa ni kulihutubia baraza la madiwani wa halmashauri hiyo , ambalo lilikuwa na jukumu la kupitia majibu ya hoja za ukaguzi kwa mwaka 2013/2014.Hata hivyo katika hotuba yake kwa madiwani hao kabla ya kuvunjwa kwa baraza hilo kupisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, Mkuu huyo wa mkoa alitumia fursa hiyo kuwapongeza...

 

11 years ago

Michuzi

Mabadiliko ya mfumo wa Serikali katika utendaji kazi kupata mafanikio haraka

Ofisi ya Rais - Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (OR- UUM) imetoa taarifa kwa umma kuwa utekelezaji wa mfumo wa – Big Results Now ! (BRN) unaendelea vizuri. Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) unaweka utaratibu thabiti wa kufuatilia na kutathimini utekelezaji wa miradi katika maeneo sita ya kimkakati kitaifa (Kilimo, Elimu, Maji, Nishati , Uchukuzi na Utafutaji wa Rasilimali).
Mfumo wa BRN unaweka wazi malengo pamoja na kuainisha uwajibikaji kwa kila mshiriki mmoja au taasisi...

 

9 years ago

Habarileo

Madiwani watakiwa kufuata kasi ya Magufuli

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga vijijini kimewataka madiwani wote kutofanya kazi kwa mazoea na kwenda sambamba na kasi ya utendaji kazi wa Dk John Magufuli.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani watakiwa kupima afya zao

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Joseph Muhumba, ametoa wito kwa madiwani kuchunguza afya zao kwa lengo la kubaini magonjwa yanayowakabili na kupata tiba mapema sambamba na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Madiwani Kigoma watakiwa kushirikiana na wananchi

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Saveli Mwangasame, akizungumza na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny) (4)-1

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Saveli Mwangasame, akizungumza na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Emmanuel Senny).

Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Enock Jonas, akizungumza na madiwani baada ya kuchaguliwa katika kikao chao cha kwanza. (Picha na Emmanuel Senny) (1)

Mwenyekiti mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Enock Jonas, akizungumza na madiwani baada ya kuchaguliwa katika kikao chao cha kwanza. (Picha na Emmanuel Senny).

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa. (Picha na Emmanuel Senny)

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa. (Picha na Emmanuel Senny)

Na Emmanuel Senny, Kigoma

Madiwani wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Mbeya watakiwa kuwa wabunifu

MADIWANI nchini wameaswa kuepuka tofauti zao za kisiasa, badala yake kuwa wabunifu wa miradi ya maendeleo ili kuhakikisha wanaleta maendeleo katika halmashauri zao. Mjumbe wa Kamati Tendajii ya Jumuiya ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Madiwani wa ACT watakiwa kuepuka ufisadi

Madiwani wa ACT–Wazalendo katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia misingi ya utawala bora na kuepuka kushiriki vitendo vya ufisadi.

 

9 years ago

Habarileo

Madiwani watakiwa kufuatilia matukio ya kitaifa

MKUU wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Wilman Ndile amewataka madiwani wapya na wa zamani katika halmashauri hiyo, kufuatilia kwa karibu matukio ya kitaifa kupitia vyombo vya habari ili waweze kuendana na wakati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani