Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabadiliko ya mfumo wa Serikali katika utendaji kazi kupata mafanikio haraka

Ofisi ya Rais - Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (OR- UUM) imetoa taarifa kwa umma kuwa utekelezaji wa mfumo wa – Big Results Now ! (BRN) unaendelea vizuri. Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) unaweka utaratibu thabiti wa kufuatilia na kutathimini utekelezaji wa miradi katika maeneo sita ya kimkakati kitaifa (Kilimo, Elimu, Maji, Nishati , Uchukuzi na Utafutaji wa Rasilimali).
Mfumo wa BRN unaweka wazi malengo pamoja na kuainisha uwajibikaji kwa kila mshiriki mmoja au taasisi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tunahitaji mabadiliko ya mfumo haraka iwezekanavyo

Siasa nchini sasa zimefikia wakati wake, wakati huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

Michuzi

RC KILIMANJARO AKUTANA NA WATENDAJI WA SERIKALI KATIKA KIKAO CHA UTENDAJI KAZI

KATIKA kutekeleza kauli mbiu ya Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli ya “Hapa Kazi tu” serikali mkoani Kilimanjaro imetangaza kusitisha likizo na ruhusa zote kwa watumishi wake katika kipindi cha siku kuu za Krismasi na mwaka mpya.
Agizo hilo linakuja wakati tayari baadhi ya watumishi wa serikali kuanza taratibu za kuomba likizo na ruhusa kwa ajili ya kwenda kushiriki siku kuu za mwisho wa mwaka za Krismasi na mwaka mpya.

.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali ibuni mifumo bora ya utendaji kazi

Tangu kuanza kazi kwa Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano, likiwa na kaulimbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’, mengi yameonekana kutoka kwa mawaziri hao.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BODI ZA PAROLE NCHINI

Mwenyekiti wa Parole Taifa, Mhe. Dkt. Augustino Mrema akisoma taarifa fupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi azindue Bodi ya Taifa Parole leo Mei 14, 2020 jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Hamad Masauni(Mb) akitoa hotuba katika hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi ya Taifa Parole Taifa, leo Mei 14, 2020 katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango, jijini Dodoma.Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee ambaye pia ni Katibu wa Bodi ya Taifa Parole akitoa maelezo...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano uliojengwa na TTCL kwenye kijiji cha Maleza kilichopo kata ya Mbangala mkoani Songwe. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Samwel Jeremia
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati) akisisitiza jambo kwa Meneja Mtandao wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wa Mkoa wa Songwe, Castuly Puka (wa pili kushoto) baada ya kuzindua mnara wa...

 

10 years ago

Vijimambo

PSPF kushirikiana na bloggers katika utendaji kazi wao

Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa PSPF, Abdul Njahidi (kulia) akiwaonesha baadhi ya wawakilishi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na watangazaji wa Clouds FM baadhi ya tuzo walizozitwaa kutokana na huduma bora wanazozitoa kwa wateja wao.Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu (mbele) akizungumza wakati baadhi ya wanachama wa Tanzania Bloggers Network walipotembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya maofisa wa PSPF.Mkurugenzi wa Uendeshaji PSPF, Neema Muro (kulia)...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali imefanikiwa kuboresha utendaji kazi wa utumishi wa umma kwa kuendesha mikutano kupitia njia ya video (TEHAMA)

IMG_4283

Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma HAB Mkwizu wa kwanza kushoto mstari wa mbele akiongoza kikao kazi  kupitia njia ya video kwa makatibu tawala wa mikoa na wasaidizi wao, wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mitaa na wakuu wa idara za utawala na rasilimali watu katika mamlaka za serikali za mitaa  kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Kagera, Tanga,Tabora,Manyara, Morogoro, Rukwa na Katavi kilichofanyika jana kwenye ukumbi wa Wakala wa Mafunzo kwa Mtandao iliyopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani