Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BODI ZA PAROLE NCHINI

Mwenyekiti wa Parole Taifa, Mhe. Dkt. Augustino Mrema akisoma taarifa fupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi azindue Bodi ya Taifa Parole leo Mei 14, 2020 jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Hamad Masauni(Mb) akitoa hotuba katika hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi ya Taifa Parole Taifa, leo Mei 14, 2020 katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango, jijini Dodoma.Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee ambaye pia ni Katibu wa Bodi ya Taifa Parole akitoa maelezo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano uliojengwa na TTCL kwenye kijiji cha Maleza kilichopo kata ya Mbangala mkoani Songwe. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Samwel Jeremia
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati) akisisitiza jambo kwa Meneja Mtandao wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wa Mkoa wa Songwe, Castuly Puka (wa pili kushoto) baada ya kuzindua mnara wa...

 

5 years ago

Michuzi

MCHANGO WA SEKTA YA MADINI UMEZIDI KUIMARIKA NCHINI, SERIKALI TUNAFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA SEKTA HIYO- WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA


Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema mchango wa sekta ya madini umezidi kuimarika hapa nchini na kwamba Serikali kwa upande wake imeridhishwa na utendaji kazi wa sekta hiyo kupitia Wizara ya Madini.

Ameyasema hayo leo Februari 23,2020 wakati akizungumza na wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mwalimu Nyerere(JNICC), jinini Dar es Salaam leo.

Amefafanua kuwa sekta ya madini hapa nchini...

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA BODI YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH. RAMADHAN KIJJAH AVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA PPF

Mwenyekiti wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh Ramadhan Kijjah akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kutembelea banda la PPF ili kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wa PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba
Mmoja wa wateja waliotembelea banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam akijaza fomu ya kujiunga...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali ibuni mifumo bora ya utendaji kazi

Tangu kuanza kazi kwa Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano, likiwa na kaulimbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’, mengi yameonekana kutoka kwa mawaziri hao.

 

10 years ago

Michuzi

SECURITYGROUP (T) LTD (SGA) WAFANYA USAFI KUADHIMISHA MIAKA 30 YA UTENDAJI KAZI NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya ulinzi ya Security Group (T) Ltd (SGA), Eric Sambu akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo muda mfupi kabla ya kuanza kuufanyia usafi ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuadhimisha miaka 30 ya utendaji kazi wa kampuni hiyo nchini.Wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya ulinzi ya Security Group (T) Ltd (SGA), wakifanya usafi katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, Mbezi Beach, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kudhimisha miaka...

 

9 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI ASISITIZA UTENDAJI KAZI WENYE TIJA

Na Lucas Mboje, Dar es Salaam
WATUMISHI wa Jeshi la Magereza wametakiwa kuzingatia utendaji kazi wenye tija mahala pa kazi na kuacha kufanya kazi kwa mazoea(Business as usual).
Rai hiyo imetolewa na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, John Casmir Minja wakati akizungumza kwenye Baraza la kufunga Mwaka 2015 na kuukaribisha Mwaka mpya 2016 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini, Dar es Salaam.
Jenerali Minja amewaagiza Watumishi wote wa Jeshi hilo kuhakikisha kuwa wanawajibika...

 

9 years ago

Michuzi

RC KILIMANJARO AKUTANA NA WATENDAJI WA SERIKALI KATIKA KIKAO CHA UTENDAJI KAZI

KATIKA kutekeleza kauli mbiu ya Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli ya “Hapa Kazi tu” serikali mkoani Kilimanjaro imetangaza kusitisha likizo na ruhusa zote kwa watumishi wake katika kipindi cha siku kuu za Krismasi na mwaka mpya.
Agizo hilo linakuja wakati tayari baadhi ya watumishi wa serikali kuanza taratibu za kuomba likizo na ruhusa kwa ajili ya kwenda kushiriki siku kuu za mwisho wa mwaka za Krismasi na mwaka mpya.

.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani