MCHANGO WA SEKTA YA MADINI UMEZIDI KUIMARIKA NCHINI, SERIKALI TUNAFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA SEKTA HIYO- WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Na Avila Kakingo, Globu ya Jamii
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema mchango wa sekta ya madini umezidi kuimarika hapa nchini na kwamba Serikali kwa upande wake imeridhishwa na utendaji kazi wa sekta hiyo kupitia Wizara ya Madini.
Ameyasema hayo leo Februari 23,2020 wakati akizungumza na wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Mwalimu Nyerere(JNICC), jinini Dar es Salaam leo.
Amefafanua kuwa sekta ya madini hapa nchini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMatukio Katika Picha: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefunga Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akionesha zawadi ya fremu ya nembo ya Taifa iliyotengenezwa kwa madini alipotembelea mabanda katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika JNICC Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Simon Msanjira. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiangalia madini ya Tanzanite katika moja ya...
5 years ago
MichuziSEKTA YA MADINI KUCHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA IFIKAPO 2025-WAZIRI MKUU KAASIM MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha cheti baada ya kuzindua utoaji wa cheti cha uhalisia kwa Madini ya Bati kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Februari 23, 2020. Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai, wa pili kushoto ni...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO ATAKA MCHANGO SEKTA YA MADINI KUTAZAMWA
“Niliwaambia wenzangu wizarani, lazima tuhame sasa kwenye mfumo wa kufurahia kuona mapato yameongezeka kutokana na ukusanyaji wa maduhuli twende kwenye mfumo wa kujiuliza je? Sekta ya madini imechangiaje ukuaji wa sekta...
10 years ago
Michuzi13 Nov
WADAU WA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO NCHINI
9 years ago
MichuziWIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA CHETI CHA UHALISI WA MADINI YA BATI...AELEZEA UMUHIMU WAKE KWA TAIFA
Amezidua cheti hicho cha uhalisi wakati wa mkutano wa wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika leo Februari 23,mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar ea Salaam.
Nchi mbalimbali zimepata Cheti cha halisi wa madini ya Bati ambazo ni Uganda, Burundi,...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA-TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA MADHEHEBU YOTE NCHINI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuberi Bin Ally (kulia) wakati aliposhiriki katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W. , Mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam, Februari 16, 2020. Wa pili kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Al Hadi Musa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zuberi Bin Ally katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad S.A.W , Mtaa wa Indira...
5 years ago
MichuziBiteko ataka mchango sekta ya madini kutazamwa vinginevyo
Jengo jipya litakalotumiwa na wafanyabiashara wa madini mkoani Geita ambalo lilijengwa kwa fedha za huduma kwa jamii (CSR) zilizotolewa na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) na kusimamiwa kwa ushirikiano baina ya mgodi huo na Halimashauri ya Mji wa Geita. (Picha na Wizara ya Madini). Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza na wafanyabiashara wa madini wa Mkoa wa Geita hivi karibuni alipofanya ziara ili kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi ya maendeleo inayofanywa kwa fedha za huduma za...
10 years ago
Vijimambo03 Mar
MCHANGO WA SEKTA YA MADINI: TANZANIA IJAYO (2015-2035)
Pato la mtu mmoja mmoja kwa mwaka (GDP per capita) nchini Bostwana ni US$ 7,120 (IMF, 2013). Michango ya ki-sekta kwa GDP ya Botswana ni kama ifuatavyo: Sekta ya Huduma (Services,...