Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC KILIMANJARO AKUTANA NA WATENDAJI WA SERIKALI KATIKA KIKAO CHA UTENDAJI KAZI

KATIKA kutekeleza kauli mbiu ya Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli ya “Hapa Kazi tu” serikali mkoani Kilimanjaro imetangaza kusitisha likizo na ruhusa zote kwa watumishi wake katika kipindi cha siku kuu za Krismasi na mwaka mpya.
Agizo hilo linakuja wakati tayari baadhi ya watumishi wa serikali kuanza taratibu za kuomba likizo na ruhusa kwa ajili ya kwenda kushiriki siku kuu za mwisho wa mwaka za Krismasi na mwaka mpya.

.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KIKAO KAZI CHA WATENDAJI WA SHIRIKA LA MAGEREZA NA GEPF CHAENDELEA LEO MKOANI MOROGORO



 Mkuu wa Magereza Mkoani Morogoro, Naibu Kamishna wa Magereza, James Selestine(wa kwanza kushoto) akiteta jambo na Watendaji Waandamizi wa Shirika la Magereza na GEPF kabla ya kutembelea katika eneo la Kihonda, Morogoro ambapo mradi wa Majengo ya vitega uchumi kwa ubia kati ya Shirika la Magereza na GEPF utakapojengwa(wa kwanza kulia) ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, Bw. Festo Fute(wa pili kulia) ni Mtendaji Mkuu wa Shirika la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, John Masunga.

 

11 years ago

Michuzi

Mabadiliko ya mfumo wa Serikali katika utendaji kazi kupata mafanikio haraka

Ofisi ya Rais - Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (OR- UUM) imetoa taarifa kwa umma kuwa utekelezaji wa mfumo wa – Big Results Now ! (BRN) unaendelea vizuri. Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) unaweka utaratibu thabiti wa kufuatilia na kutathimini utekelezaji wa miradi katika maeneo sita ya kimkakati kitaifa (Kilimo, Elimu, Maji, Nishati , Uchukuzi na Utafutaji wa Rasilimali).
Mfumo wa BRN unaweka wazi malengo pamoja na kuainisha uwajibikaji kwa kila mshiriki mmoja au taasisi...

 

5 years ago

Michuzi

KUAHIRISHWA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi anawataarifu  Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini pamoja na wadau wengine kuwa Kikao Kazi kilichotarajiwa kufanyika tarehe 9 hadi 13 Machi 2020, Jijini Mbeya kimeahirishwa.
Kikao kazi hicho ambacho hufanyika kila mwaka ili kuwajengea uwezo Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali namna ya kutangaza shughuli za Serikali na kuhakikisha,  Idara na Vitengo vya Mawasiliano na Uhusiano Serikalini vinaimarishwa ili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuwa Mgeni rasmi katika Kikao cha kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi

DSC_5259

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mhe. Hawa A. Ghasia akiwakaribisha wajumbe wa Kikao kazi cha Usimamizi na Uendeshaji wa Elimu Msingi kinachofanyika  katika ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia tarehe 01-03 Oktoba, 2014. Lengo la kikao hicho ni kuainisha Mafanikio na Changamoto katika utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa katika Sekta ya Elimu.

Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI  kwa kushirikiana na Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo wameandaa kikao cha kazi kuhusu...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali ibuni mifumo bora ya utendaji kazi

Tangu kuanza kazi kwa Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano, likiwa na kaulimbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’, mengi yameonekana kutoka kwa mawaziri hao.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA BODI ZA PAROLE NCHINI

Mwenyekiti wa Parole Taifa, Mhe. Dkt. Augustino Mrema akisoma taarifa fupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi azindue Bodi ya Taifa Parole leo Mei 14, 2020 jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Hamad Masauni(Mb) akitoa hotuba katika hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi ya Taifa Parole Taifa, leo Mei 14, 2020 katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango, jijini Dodoma.Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee ambaye pia ni Katibu wa Bodi ya Taifa Parole akitoa maelezo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani