Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUAHIRISHWA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi anawataarifu  Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini pamoja na wadau wengine kuwa Kikao Kazi kilichotarajiwa kufanyika tarehe 9 hadi 13 Machi 2020, Jijini Mbeya kimeahirishwa.
Kikao kazi hicho ambacho hufanyika kila mwaka ili kuwajengea uwezo Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali namna ya kutangaza shughuli za Serikali na kuhakikisha,  Idara na Vitengo vya Mawasiliano na Uhusiano Serikalini vinaimarishwa ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara afunga kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano

1

Wawasilishaji kutoka kampuni ya PUSH OBSERVER wakiwaeleza maafisa mawasiliano huduma wanazotoa ikiwamo ufuatiliaji wa taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii pia utoaji wa taarifa wa jumbe kupitia mitandao ya simu(Bulk messages).

2

3

Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bw. Innocent Mungy akitoaa taarifa futi ya utekelezaji wa kazi wa chama hicho kwa Maafisa Mawasiliano wakati wa ufungaji wa kikao kazi cha Maafisa ha oleo Mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Fennela Afungua Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini na Wahariri wa Vyombo vya Habari

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiwaeleza washiriki wa Mkutano huo umuhimu wa kuelimisha umma kuelekea upigaji kura ya maoni na kuwataka wahariri wa vyombo vya habari nchini kuwa mstari wa mbele katika kutekeleza suala hili la kitaifa.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JL Communication inayochapisha magazeti ya Jambo leo na StaaSpoti Bw. Theophil Makunga akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara pia...

 

9 years ago

Michuzi

RC KILIMANJARO AKUTANA NA WATENDAJI WA SERIKALI KATIKA KIKAO CHA UTENDAJI KAZI

KATIKA kutekeleza kauli mbiu ya Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli ya “Hapa Kazi tu” serikali mkoani Kilimanjaro imetangaza kusitisha likizo na ruhusa zote kwa watumishi wake katika kipindi cha siku kuu za Krismasi na mwaka mpya.
Agizo hilo linakuja wakati tayari baadhi ya watumishi wa serikali kuanza taratibu za kuomba likizo na ruhusa kwa ajili ya kwenda kushiriki siku kuu za mwisho wa mwaka za Krismasi na mwaka mpya.

.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos...

 

10 years ago

Dewji Blog

Bi. Sihaba Nkinga azindua chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO)

1

Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini(TAGCO) Bw. Innocent Mungy akisoma Taarifa fupi ya Chama hicho kabla ya uzinduzi jana Mjini Mtwara.

2

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa habari Kabla ya Kuzindua Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini(TAGCO) ambapo aliwataka kuwa na umoja na Mshikamano ili kujijenga na kukiendeleza chama hicho kitakachosaidia kukuza taaluma na weledi katika utendaji wa kazi jana Mjini...

 

5 years ago

Michuzi

MAAFISA MAWASILIANO WA WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA WATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO - MAEKANI

 Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha (DVC(AF) Prof. Ernest Kihanga akitoa ufafanuzi kwa Maafisa Mawasiliano wa Wizara ya Elimu, kuhusu maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa, mradi mpya ambao unahusisha ujenzi wa vyumba vya madarasa, kumbi za mikutano na ofisi za watumishi, eneo la Maekani Chuo Kikuu Mzumbe.  Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha (DVC(AF) Prof. Ernest Kihanga akitoa  maelezo kwa Maafisa Mawasiliano wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia  kuhusu ujenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI CHAANZA LEO MKOANI MOROGORO

  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akitoa hotuba ya ufunguzi leo Mei 26, 2015 kwenye Kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini kinachofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Edema, Mkoani Morogoro.  Wajumbe wa Kikao ambao ni  Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza nchiniwa kifuatilia kwa makini hotuba ya Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil(wa kwanza kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani