Dkt. Fennela Afungua Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini na Wahariri wa Vyombo vya Habari
![](http://1.bp.blogspot.com/-4zmgpJGavKk/VMYwrGbWdaI/AAAAAAAG_ik/IKfT-P9nuvU/s72-c/4.jpg)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiwaeleza washiriki wa Mkutano huo umuhimu wa kuelimisha umma kuelekea upigaji kura ya maoni na kuwataka wahariri wa vyombo vya habari nchini kuwa mstari wa mbele katika kutekeleza suala hili la kitaifa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JL Communication inayochapisha magazeti ya Jambo leo na StaaSpoti Bw. Theophil Makunga akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara pia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DtFo8bkayxY/VBmV6eNobEI/AAAAAAAGkGs/zOfF6cXr8I8/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-DtFo8bkayxY/VBmV6eNobEI/AAAAAAAGkGs/zOfF6cXr8I8/s1600/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-b8Zmny2vKeo/VBmV6oR7rQI/AAAAAAAGkG4/zvICOYWz1fA/s1600/04.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pNwHPmIrX7U/XmDcR3tjAnI/AAAAAAALhKY/WnWWnIz8Wk4v_m0HLQrrVz48z6rq3oMawCLcBGAsYHQ/s72-c/GY3A2920.jpg)
KUAHIRISHWA KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAWASILIANO WA SERIKALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-pNwHPmIrX7U/XmDcR3tjAnI/AAAAAAALhKY/WnWWnIz8Wk4v_m0HLQrrVz48z6rq3oMawCLcBGAsYHQ/s320/GY3A2920.jpg)
Kikao kazi hicho ambacho hufanyika kila mwaka ili kuwajengea uwezo Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali namna ya kutangaza shughuli za Serikali na kuhakikisha, Idara na Vitengo vya Mawasiliano na Uhusiano Serikalini vinaimarishwa ili...
10 years ago
Dewji Blog31 Jan
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara afunga kikao kazi cha Maafisa Mawasiliano
Wawasilishaji kutoka kampuni ya PUSH OBSERVER wakiwaeleza maafisa mawasiliano huduma wanazotoa ikiwamo ufuatiliaji wa taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii pia utoaji wa taarifa wa jumbe kupitia mitandao ya simu(Bulk messages).
Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bw. Innocent Mungy akitoaa taarifa futi ya utekelezaji wa kazi wa chama hicho kwa Maafisa Mawasiliano wakati wa ufungaji wa kikao kazi cha Maafisa ha oleo Mkoani...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_IyfdRkkRxE/VGd7Rb-HDNI/AAAAAAAGxhw/NN5uHtM_4U0/s72-c/unnamed%2B(38).jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI KWA MAZUNGUMZO JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-_IyfdRkkRxE/VGd7Rb-HDNI/AAAAAAAGxhw/NN5uHtM_4U0/s1600/unnamed%2B(38).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dZdCKLP3yLI/VGd7SO_YjXI/AAAAAAAGxh4/Mn7vXTez2A8/s1600/unnamed%2B(41).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-c8NtO-YUc4U/VGd7Q4R6zYI/AAAAAAAGxho/sbrtEaYLQz0/s1600/unnamed%2B(39).jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Nov
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na wahariri wa vyombo vya habari kwa mazungumzo Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo. (Picha na OMR).
Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Jackton Manyerere, akichangia mada wakati wa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, yaliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, Novemba 14, 2014.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-7ai0hxPyc68/VGdG-qChEAI/AAAAAAACTE8/A59l1teotNc/s72-c/001.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI KWA MAZUNGUMZO JIJINI DAR ES SALAAM.
![](http://3.bp.blogspot.com/-7ai0hxPyc68/VGdG-qChEAI/AAAAAAACTE8/A59l1teotNc/s640/001.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-P9tE1BWEJIA/VGdHIYDj-II/AAAAAAACTFE/2_n2Y7k7Il4/s640/002.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-kmXh41GKdyM/VGdHIpEmvKI/AAAAAAACTFI/pb2dQH4Q_Vk/s640/02..jpg)
10 years ago
Vijimambo03 May