MAAFISA MAWASILIANO WA WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA WATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO INAYOFADHILIWA NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO - MAEKANI

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha (DVC(AF) Prof. Ernest Kihanga akitoa ufafanuzi kwa Maafisa Mawasiliano wa Wizara ya Elimu, kuhusu maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa, mradi mpya ambao unahusisha ujenzi wa vyumba vya madarasa, kumbi za mikutano na ofisi za watumishi, eneo la Maekani Chuo Kikuu Mzumbe.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Utawala na Fedha (DVC(AF) Prof. Ernest Kihanga akitoa maelezo kwa Maafisa Mawasiliano wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuhusu ujenzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUTHIBITI UHARAMIA MITANDAONI
10 years ago
GPLHUAWEI NA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia watiliana saini ya kusimamia sekta ya TEHAMA
Katibu mkuu wa Wizara ya Sayansi Pro. Patrick Makungu (kushoto) pamoja na Mtendaji Mkuu wa Huawei Tanzania, Bw. Zhan Yongquan wakitiliana saini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya TEHAMA nchini. Wanaoshuhudia ni katikati ni Balozi wa china nchini Tanzania, Balozi LvYouguin, akifuatiwa na Waziri wa Mawasiliano Sayansi na technolojia, Prf. Makame Mbarawa (kulia) na kushoto kwao ni waziri wa afya wa Zanzibar. Bw. Mahamoud Thabit Kombo.
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Huawei Tanzania...
10 years ago
MichuziHUAWEI TANZANIA NA WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI
11 years ago
MichuziWizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia yatoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi ya tehama
10 years ago
Dewji Blog17 Jun
Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia waungana katika kongamano la Teknohama litakalofanyika Juni 18-19
Mkurugenzi wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba (kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Huawei Tanzania, Bwana Samson Majwala katika ushirikiano wao huo. anayefuatia ni Afisa wa Huawei.
Kampuni ya Huawei Tanzainia ikishirikiana na Wizara na Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia inatarajiwa kufanya kongamano la kwanza la Huawei Cloud Conference katika ukumbi wa Julius Nyerere Convential Centre (JNICC) kwa siku mbili yaani Juni 18 na 19...
9 years ago
StarTV07 Nov
Serikali awamu ya tano Yashauriwa kutenganisha Wizara ya Michezo.
Serikali ya awamu ya tano, imeshauriwa kuitenganisha Wizara ya Michezo na wizara nyingine, ili kusukuma maendeleo ya michezo nchini. Katika awamu iliyopita, michezo ilikuwa Wizara moja na Habari, Vijana na Utamaduni, na hivyo baadhi ya wadau kudai kwamba waziri husika alikuwa na mzigo wa kushughulikia sekta nne kwa wakati mmoja. Ushauri kwa serikali mpya umetolewa na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Soka Wilaya ya Kinondoni (KIFA) mkoani Dar es Salaam, Majaliwa Mbassa,...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMELETA MAENDELEO PWANI- MHANDISI NDIKILO
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amesema ndani ya miaka mitano chini ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli imepata maendeleo makubwa sana.
Ndikilo amesema, toka kupata kwa Uhuru mji wa Kisarawe haujawahi kupata maji safi na kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA wamefanikisha kukamilika kwa mradi huo.
Mradi wa maji wa Kisarawe umeuzindulia leo na Rais Dkt John Pombe Magufuli, tunafurahi...
9 years ago
MichuziSHIVYAWATA WATAKA MAZINGIRA RAFIKI YA ELIMU KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO