Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia yatoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi ya tehama


 Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia bi Prisca Ulomi akitoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)  wakati wa mkutano  na waandishi wa habari leo jijini Dar es salam . Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi Prisca Ulomi akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu hatua iliyofikiwa na Serikali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia watiliana saini ya kusimamia sekta ya TEHAMA

 

DSC_5719

Katibu mkuu wa Wizara ya Sayansi Pro. Patrick Makungu  (kushoto) pamoja na  Mtendaji Mkuu wa Huawei Tanzania, Bw. Zhan Yongquan  wakitiliana saini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya TEHAMA nchini. Wanaoshuhudia ni katikati ni Balozi wa china nchini Tanzania, Balozi LvYouguin, akifuatiwa na  Waziri wa Mawasiliano Sayansi na technolojia, Prf. Makame Mbarawa (kulia) na kushoto kwao ni waziri wa afya wa Zanzibar.  Bw. Mahamoud Thabit Kombo.

Na  Mwandishi Wetu

Kampuni ya Huawei Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia afungua mkutano wa wadau wa TEHAMA Jijini Dar

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akifungua mkutano wa siku mbili wa wadau wa Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa Bonde la ufa leo jijini Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia John Mngondo (kulia) akiwa miongoni mwa washiriki wa mkutano wa siku mbili wa wadau Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa Bonde la Ufa leo jijini Dar es salaam. Mkurugenzi...

 

10 years ago

GPL

WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUTHIBITI UHARAMIA MITANDAONI

Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,  John Mngodo, akitoa ufafanuzi kwa wanahabari (hawapo pichani). Wadau na wanahabari mbalimbali wakisikiliza maelezo kutoka kwa wataalam wa wizara.…

 

10 years ago

GPL

HUAWEI NA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI

Mkurugenzi wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Dk Ally Simba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es-Salaam jana kuhusu kuungana na kampuni ya Huawei katika kongamano la Teknohama, kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Huawei Tanzania, Samson Majwala. Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Huawei Tanzania, Samson Majwala akiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es-Salaam jana kuhusu kuungana na...

 

10 years ago

Michuzi

HUAWEI TANZANIA NA WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA TEKNOHAMA NCHINI

Mkurugenzi wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es-Salaam jana kuhusu kuungana na kampuni ya Huawei katika kongamano la Teknohama, kulia ni Mkurugenzi wa masoko na mauzo wa Huawei Tanzania Samson Majwala.Mkurugenzi wa masoko na mauzo wa Huawei Tanzania Samson Majwala kiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es-Salaam jana kuhusu kuungana na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia katika kongamano la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia waungana katika kongamano la Teknohama litakalofanyika Juni 18-19

8.jpg333

Mkurugenzi wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba (kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Huawei Tanzania, Bwana Samson Majwala katika ushirikiano wao huo. anayefuatia ni Afisa wa Huawei. 

Kampuni ya Huawei Tanzainia ikishirikiana na Wizara na Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia inatarajiwa kufanya kongamano la kwanza la Huawei Cloud Conference katika ukumbi wa Julius Nyerere Convential Centre (JNICC)  kwa siku mbili yaani Juni 18 na 19...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani