Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANANCHI WATAKIWA KUZINGATIA TEHAMA KUTOKANA NA KUKUA KWA TEKNOLOJIA HIYO.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia yatoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi ya tehama


 Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia bi Prisca Ulomi akitoa wito kwa wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)  wakati wa mkutano  na waandishi wa habari leo jijini Dar es salam . Kaimu Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi Prisca Ulomi akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu hatua iliyofikiwa na Serikali...

 

9 years ago

Michuzi

WATAALAM WA TEHAMA NCHINI TANZANIA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI, WELEDI NA UBUNIFU

1
Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.HAB Mkwizu akifungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa Serikali Mtandao leo jijini Arusha.Zaidi ya wataalam wa TEHAMA 500 kutoka Wizara, Idara, Wakala,Taasisi, Halmashauri wako jijini Arusha kujadili mafanikio na changamoto za Serikali mtandao. 2
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt.Jabiri Bakari akitoa ufafanuzi kuhusu Serikali Mtandao kwa washiriki wa Mkutano wa kwanza wa Serikali Mtandao unaofanyika katika...

 

9 years ago

Dewji Blog

MAAFISA WA TUME YA UCHAGUZI: Watakiwa kufanyakazi zao kwa kuzingatia Sheria na taratibu!

SAM_0040

baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku mbili kwa maafisa wa tume ya uchaguzi yaliyofanyika katika shule ya msingi Ikungi mchanganyiko 

Na.Jumbe Ismailly.

[Ikungi-SINGIDA] Mkuu  wa wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida ametoa wito kwa maafisa wa tume ya uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha viongozi watakaopatikana katika uchaguzi mkuu ujao wa Rais,wabunge na madiwani ni wale ambao wanatakiwa na wananchi na siyo wanaotakiwa na viongozi wa vyama vya siasa.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa wilaya ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA: Watakiwa kusimamia shughuli zao kwa kuzingatia Haki,Uadilifu na kutopendela chama!

SAM_0215 Mkuu wa wilaya ya Singida,Bwana Saidi Amanzi(aliyesimama) akifungua semina ya siku mbili kwa wasimamizi 42 kutoka jimbo la Singida kaskazini.(Picha  zote  na Jumbe Ismailly).

Na. Jumbe Ismailly

[SINGIDA] MKUU wa Wilaya ya Singida,Saidi Amanzi amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanakwenda kusimamia shughuli za uchaguzi kwa kuzingatia haki,uadilifu,bila upendeleo na kwa kutoegemea upande wowote.

Mkuu wa wilaya huyo alitoa agizo hilo kwenye ufunguzi wa semina ya siku...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia afungua mkutano wa wadau wa TEHAMA Jijini Dar

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akifungua mkutano wa siku mbili wa wadau wa Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa Bonde la ufa leo jijini Dar es salaam. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia John Mngondo (kulia) akiwa miongoni mwa washiriki wa mkutano wa siku mbili wa wadau Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa Bonde la Ufa leo jijini Dar es salaam. Mkurugenzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Huawei Tanzania na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia watiliana saini ya kusimamia sekta ya TEHAMA

 

DSC_5719

Katibu mkuu wa Wizara ya Sayansi Pro. Patrick Makungu  (kushoto) pamoja na  Mtendaji Mkuu wa Huawei Tanzania, Bw. Zhan Yongquan  wakitiliana saini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya TEHAMA nchini. Wanaoshuhudia ni katikati ni Balozi wa china nchini Tanzania, Balozi LvYouguin, akifuatiwa na  Waziri wa Mawasiliano Sayansi na technolojia, Prf. Makame Mbarawa (kulia) na kushoto kwao ni waziri wa afya wa Zanzibar.  Bw. Mahamoud Thabit Kombo.

Na  Mwandishi Wetu

Kampuni ya Huawei Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

Wazalishaji watakiwa kuzingatia viwango

Na Mwandishi  Wetu, Singida

WAZALISHAJI wa bidhaa mbalimbali mkoani Singida wametakiwa kutambua kuwa suala la viwango ni la kisheria hivyo ni lazima kuthibitisha ubora wa bidhaa ili kumlinda mlaji na kupata uhakika wa soko la bidhaa wanazozizalisha.

Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu  wa Mkoa wa Singida Mhe. Dkt Rehema Nchimbi alipokuwa akifungua mafunzo ya wazalishaji wa bidhaa za vyakula yakiwemo mafuta ya alizeti na wauzaji wa vipodozi na vyakula yaliyofanyika katika ukumbi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani